Hatua za kuchukuliwa baada ya watu 20 kufa Moshi

Hatua za kuchukuliwa baada ya watu 20 kufa Moshi

Rejea comment yako hapo juu. Wakugundua alikuwa mwamposa yeye si anaona vitu ambavyo sisi wengine hatuoni. Pia ana "special" channel ya mawasiliano na Mungu ndio maana anawatabiria watu.

Vurugu na watu kufa hata mkutano ukiwa wa watu 10 inaweza kutokea we unadhani mpaka watu nyomi.
Kitendo cha watu kufa kwa mateso ya kukanyagana vile kinathibitisha mungu hayupo! Mungu anaehubiriwa kila siku kuwa ana upendo wote, huruma yote na uwezo wote angekuwepo asingekubali watu wafe kwa mateso yale!
 
Naongea na mtu ambaye akili yake haiko tayari kuelewa!Siku njema!

Kosa kama ni la polisi Mwamposa kashikiliwa wa kazi gani embu nisaidie kudadavua hii logic mkuu tuweke chuki dhidi ya polisi pembeni



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kosa kama ni la polisi Mwamposa kashikiliwa wa kazi gani embu nisaidie kudadavua hii logic mkuu tuweke chuki dhidi ya polisi pembeni



Sent from my iPhone using JamiiForums

Kuhojiwa inamaana ndio una hatia?Swali la kujiuliza,polisi walikuwepo eneo la tukio?Nijuavyo mimi polisi hutoa kibali pale ambapo wanakuwa na nguvu kazi ya kusimamia amani na usalama katika mikusanyiko,je,ulishawahi kuona polisi wakifanya hivyo kwenye mikutano ya injili?Kwanini?
 
Kosa kama ni la polisi Mwamposa kashikiliwa wa kazi gani embu nisaidie kudadavua hii logic mkuu tuweke chuki dhidi ya polisi pembeni



Sent from my iPhone using JamiiForums
Hay ndugu,pitia hapo halafu uendeleze ubishi wako!

 
Kuhojiwa inamaana ndio una hatia?Swali la kujiuliza,polisi walikuwepo eneo la tukio?Nijuavyo mimi polisi hutoa kibali pale ambapo wanakuwa na nguvu kazi ya kusimamia amani na usalama katika mikusanyiko,je,ulishawahi kuona polisi wakifanya hivyo kwenye mikutano ya injili?Kwanini?

Nimeshudia mara nyingi sana polisi wakisimamia aman kwenye mikutano ya injil


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanza nimpongeze waziri wa mambo ya ndani kwa hekima aliyo tumia kuweka vizuri jambo hili hadi likaeleweka vizuri kwa jamii juu ya makosa yaliyofanyika na huyu mtu anaye jiita nabii.


Pili hili liwe fundisho kwa hawa wasaka utajiri kwa udanganyifu kupitia dini, sijui Mungu wa nyakati hizi ameounguza hasira lakini ipo siku watalipwa sawaswa na matendo yao.


Naomba serikali ifanye mambo haya.


1. Kufunga mojamoja kwa moja kibanda hiki cha mwamposa.

2. Asiruhusiwe kufanya mamho yake haya ndani ya Tanzania.

3. Yeye mwamposa na kundi lake wawajibike na kesi hii ya mauaji kama kesi nyingine.

4. Achunguzwe Utajiri wake na kundi lake lote waeleze wamepata wapi.

Hili liwe fundisho kwa wengine wenye roho mbaya kama mwamposa. Ameacha watu wamekufa na kujeruhiwa anekimbilia dar kwenye kibanda chake kawe. Roho mbaya sana hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sio muumini wa hayo mafuta,ila nafahamu sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wanapaswa kuwepo watu wa kusimamia usalama,kama ni kanisani au mkutanoni basi kuwe na wasimamizi. Ni LAZIMA kuhakikisha USALAMA wa watu kwa kupanga mfumo thabiti wa kitoa huduma.
Huyo nabii wao anapaswa sasa kubadili mfumo wa mazoea kwenda mfumo sahihi
Mambo haya hutokea mpirani,matamasha muziki na siasa sijui kwa nini tunakuwa wazito kizingatia..Wafu wapumzike kwa Amani!
 
Tusiishie kuangalia mtu mmoja na kuacha mifumo.

Tuna tatizo la kujielewa na kuthamini maisha ya watu.

Kwa mfano, mara nyingi nikienda sehemu zenye mikusanyiko ya watu Marekani, vyumba huwa vimeandikiwa idadi ya watu, kwa mfano, chumba au ukumbi huu haukitakiwi kuzidisha watu 300. Sikumbuki kuona hilo Tanzania.

Katika mikutano ya watu, hatuna mifumo ya crowd control. Hatuna watu wa kutosha wa kuongoza makundi ya watu, hatuna mifumo ya kuweka uzio wa wapi watu wanaruhusiwa kuranda, na wapi ni njia ziachwe wazi kwa watu kutumia wakati wa dharula. Hatuna watu wa kutosha walioajiriwa kuhakiki usalama wa watu.

Sasa hivi naona jitihada kubwa zipo kwenye kuelekeza lawama kwa mtu mmoja, Mwamposa. Mwamposa inawezekana ana lawama zake, sikatai hilo.

Lakini tujiulize. Kwa nini ni rahisi sana kwa polisi kukataza mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani, kwa sababu zisizo za msingi, wakati polisi hawakatazi mikutano ya kidini isiyo hata na mipango ya usalama.

Bila ya kuangalia haya, hatuwezi kudhibiti matukio kama haya yaliyoua watu huko Moshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe mpinga uwepo wa MUNGU hapa nakupa heko, umetema madini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe haupo sahihi! Mwenye makosa hapa siyo mwamposa bali ni polisi waliotakiwa kutoa ulinzi ila hawakuwajibika! Polisi wako tayari kulinda mikutano ya CCM lakini hawapo tayari kulinda mikutano mingine ya wananchi.Polisi wapo tayari kutokutoa vibali vya mikutano ya vyama vya upinzani kwa kisingizio kuwa hakuna usalama ila ukitaka kufanya mkutano wa dini wala hutakiwa kuomba kibali na wala hawana haja ya kuja kuhakikisha usalama wa mkutano huo.

Mwamposa yeye ana jukumu la kukusanya watu na kuwapiga neno la mungu ila suala la crowd risk management strategy ni la polisi. Polisi hawakutimiza wajibu wao kwa hiyo wao ndiyo watuhumiwa namba moja!
Ndugu kama jambo hulijui kaa kimya usipotoshe,mikutano ya dini inaomba vibali kama mikutano mingine.Wewe ulishawahi kuandaa mkutano wa dini au unaongea tu?
 
Upumbavu na Ujinga wa Kilokole ndiyo Huu! Mambo ya kiroho haya au Ujinga? Sijaona one time Yesu apifanya miujiza vikatokea Vito vya Kijinga kama hivi!
Mbna Maka wakienda kuhiji kuna miaka wakakufa kwa tatizo hilo hilo la kukanyagana wao Mbna hawaiti ujinga na upumbavu?hiyo ni ajali tu ndugu tusifurahie tatizo huyu ndugu alilolipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom