Hatua za kuchukuliwa baada ya watu 20 kufa Moshi

Hatua za kuchukuliwa baada ya watu 20 kufa Moshi

Hujui chochote kuhusu imani.
Kila mwaka watu kibao wanakufa wanapoenda kuhiji mecca kwa sababu ya imani.
Je wangekufa uwanja wa mpira kwa hiyo ungeshauri vilabu vya mpira vifungwe.
Juzi tu watu 50 wameganyagana iran kwenye mazishi.
Mawazo yako duni na ni mafupi sana.
Kwanza nimpongeze waziri wa mambo ya ndani kwa hekima aliyo tumia kuweka vizuri jambo hili hadi likaeleweka vizuri kwa jamii juu ya makosa yaliyofanyika na huyu mtu anaye jiita nabii.

Pili hili liwe fundisho kwa hawa wasaka utajiri kwa udanganyifu kupitia dini, sijui Mungu wa nyakati hizi ameounguza hasira lakini ipo siku watalipwa sawaswa na matendo yao.

Naomba serikali ifanye mambo haya.

1. Kufunga mojamoja kwa moja kibanda hiki cha mwamposa.

2. Asiruhusiwe kufanya mamho yake haya ndani ya Tanzania.

3. Yeye mwamposa na kundi lake wawajibike na kesi hii ya mauaji kama kesi nyingine.

4. Achunguzwe Utajiri wake na kundi lake lote waeleze wamepata wapi.

Hili liwe fundisho kwa wengine wenye roho mbaya kama mwamposa. Ameacha watu wamekufa na kujeruhiwa anekimbilia dar kwenye kibanda chake kawe. Roho mbaya sana hii.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambacho huelewi ni nini?Kazi ya polisi ni kusimamia usalama,sasa kama kuna tukio linahatarisha maisha wanatakiwa kuingilia kati!Nini maana ya mikusanyiko kuwepo na ulinzi wa polisi?Unadhani wako hapo kusubiri muda ufike waseme fungeni?

Polisi hawana kosa kiashiria cha kuvunjwa kwa kanuni za usalama zilianza kuvunjwa na Mwamposa polisi sio komputer kuwa ita detect kuwa janga litatokea

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Polisi hawana kosa kiashiria cha kuvunjwa kwa kanuni za usalama zilianza kuvunjwa na Mwamposa polisi sio komputer kuwa ita detect kuwa janga litatokea

Sent from my iPhone using JamiiForums
Naongea na mtu ambaye akili yake haiko tayari kuelewa!Siku njema!
 
Ambacho huelewi ni nini?Kazi ya polisi ni kusimamia usalama,sasa kama kuna tukio linahatarisha maisha wanatakiwa kuingilia kati!Nini maana ya mikusanyiko kuwepo na ulinzi wa polisi?Unadhani wako hapo kusubiri muda ufike waseme fungeni?
Sawa Mwamposa hana hatia,wenye hatia ni Police......maana hawakuweka utaratibu mzuri wa kukanyaga mafuta ya kupata utajiri,Kuoa na kuolewa etc
 
Mecca wanaomba vibali na Iran pia waliomba vibali si bora usichangie tu
waliomba vibali vya kwenda kukanyagana hIJA? Nilipenda utangazaji wa mtangazaji wa CNN kuhusu tukio lile alitangaza vizuri mno,

Akisema "MAHUJAJI WAUANA WENYEWE KWENYE HIJA KWA KUKANYAGANA"

Angalia ilivyoandikwa hapo muuaji ni nani na aliyeuawa ni nani.Hili ndilo lililotokea Moshi ilitakiwa litangazwe hivi

"wakanyaga mafuta wauana wenyewe kwa kukanyagana wakati wa kukanyaga mafuta"
 
Kwanza nimpongeze waziri wa mambo ya ndani kwa hekima aliyo tumia kuweka vizuri jambo hili hadi likaeleweka vizuri kwa jamii juu ya makosa yaliyofanyika na huyu mtu anaye jiita nabii.

Pili hili liwe fundisho kwa hawa wasaka utajiri kwa udanganyifu kupitia dini, sijui Mungu wa nyakati hizi ameounguza hasira lakini ipo siku watalipwa sawaswa na matendo yao.

Naomba serikali ifanye mambo haya.

1. Kufunga mojamoja kwa moja kibanda hiki cha mwamposa.

2. Asiruhusiwe kufanya mamho yake haya ndani ya Tanzania.

3. Yeye mwamposa na kundi lake wawajibike na kesi hii ya mauaji kama kesi nyingine.

4. Achunguzwe Utajiri wake na kundi lake lote waeleze wamepata wapi.

Hili liwe fundisho kwa wengine wenye roho mbaya kama mwamposa. Ameacha watu wamekufa na kujeruhiwa anekimbilia dar kwenye kibanda chake kawe. Roho mbaya sana hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania mnapewa elmu lakini hampewi maarifa matokeo yake wahuni wanaojiita manabii wanawala vichwa kiulaini tu
 
We Yehoyada acha uchokozi wale watu wanamatatizo yule jamaa kawaingiza kingi hata ukimwi unapona ukikanyaga mafuta na kama umekosa boom la chuo unapata fasta n.k hawakutaka mazingira mabovu
 
Sawa Mwamposa hana hatia,wenye hatia ni Police......maana hawakuweka utaratibu mzuri wa kukanyaga mafuta ya kupata utajiri,Kuoa na kuolewa etc
Jeshi halikwepi lawama,ndio kazi tuliyowapa kuhahakisha usalama wa raia unakuwepo,ndio maana wakati mwingine wanazuia mikutano kwasababu intelejensia zao zinakuwa zimewapa taarifa juu ya hali ya usalama!Shida ni kuwa mikitano mingi ya kiroho huwa wanaiacha ijiendeshe kwa asilimia zote,unakuta hakuna hata askari eneo la tukio!Njoo sasa kwenye mikutano ya kisiasa,askari kama wote na camera za kufuatilia matukio ili iwe kama ushahidi mahakamani!
 
Wewe haupo sahihi! Mwenye makosa hapa siyo mwamposa bali ni polisi waliotakiwa kutoa ulinzi ila hawakuwajibika! Polisi wako tayari kulinda mikutano ya CCM lakini hawapo tayari kulinda mikutano mingine ya wananchi.Polisi wapo tayari kutokutoa vibali vya mikutano ya vyama vya upinzani kwa kisingizio kuwa hakuna usalama ila ukitaka kufanya mkutano wa dini wala hutakiwa kuomba kibali na wala hawana haja ya kuja kuhakikisha usalama wa mkutano huo.

Mwamposa yeye ana jukumu la kukusanya watu na kuwapiga neno la mungu ila suala la crowd risk management strategy ni la polisi. Polisi hawakutimiza wajibu wao kwa hiyo wao ndiyo watuhumiwa namba moja!
Wewe taahira kweli,unaleta siasa kwenye uhai wa watu!!!,unataka polisi wakalinde makanisa ya watu!!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe taahira kweli,unaleta siasa kwenye uhai wa watu!!!,unataka polisi wakalinde makanisa ya watu!!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
Serekali huwa hawana dini wala hawapaswi kuogopa dini ya mtu. Kwa mfano ukianzisha dhehebu lako kisha ukasema ili watu waende mbinguni wanatakiwa kumwagiwa petroli kisha waunguzwe hadi kufa serekali itaingilia kati na kulifutilia dhehebu lako mbali pamoja na kukuweka ndani bila ya kujali wala kumwogopa Mungu unaemuabudu! Ninachomaanisha hapa ni kwamba kama siku hiyo vyombo vya usalama vya serekali vingekuwepo halafu vikagundua utaratibu wa kukanyaga mafuta utaua watu wangeingilia kati mara moja na kuamuru kuwa uwekwe utaratibu ambao hautaua wala kuumiza watu bila ya kujali kama huo utaratibu unaoua na kuumiza watu ndiyo utaratibu anaoutaka Mungu!
 
Jeshi halikwepi lawama,ndio kazi tuliyowapa kuhahakisha usalama wa raia unakuwepo,ndio maana wakati mwingine wanazuia mikutano kwasababu intelejensia zao zinakuwa zimewapa taarifa juu ya hali ya usalama!Shida ni kuwa mikitano mingi ya kiroho huwa wanaiacha ijiendeshe kwa asilimia zote,unakuta hakuna hata askari eneo la tukio!Njoo sasa kwenye mikutano ya kisiasa,askari kama wote na camera za kufuatilia matukio ili iwe kama ushahidi mahakamani!
Aaah haya sawa
 
vyombo vya usalama vya serekali vingekuwepo halafu vikagundua utaratibu wa kukanyaga mafuta utaua watu wangeingilia kati

Rejea comment yako hapo juu. Wakugundua alikuwa mwamposa yeye si anaona vitu ambavyo sisi wengine hatuoni. Pia ana "special" channel ya mawasiliano na Mungu ndio maana anawatabiria watu.

Vurugu na watu kufa hata mkutano ukiwa wa watu 10 inaweza kutokea we unadhani mpaka watu nyomi.

Mi nilichofurahi rangi zake halisi zinaanza kuonekana amezuga sana watu.

(1. ) Anaonyesha yeye ni macho ku mchuzi.
Ndio maana alikimbilia fweza DSM. Alipopata fweza kamaliza ibada hapo hapo kwenye saa 4 hivi. Akawaamvia anawai moshi kuna tatizo.

Je kule moshi kabla ya tatizo kutokea sadaka alikuwa ameshakusanya au ilikuwa bado ? Ni muhimu tujiridhishe hapo.

(2. ) Hana utu hata wangekufa 200. Kumb. mara ya kwanza idadi ilikuwa 15-18 .
Hajatoa pole wala tamko lolote

(3) Ana tamaa kama kenge. Kenge akikuta mayai 20 atakula yote.

Yeye angepiga simu tu DSM wamwekee mpunga wake kulikuwa hakuna sababu ya kuendesha gari usiku usiku na kesho yake SAA 4 tubunageuza tena.
 
Back
Top Bottom