sasa wamempitisha anagombea kwenye jimbo lake kupitia sisiem
ingawa yeye kweli sio raia kama wazee wametoswa walikuwa wana
taka kumuharibia thru majungu tu tanzania ni nchi ya kipekee una
weza kuwa kiongozi wakati wewe sio raia.
nini cha kushangaza! mbona hata baba wa taifa anadaiwa kuwa ni mtusi ...na uwepo wake eneo la butiama linatokana na babu yake aliyekuwa mpagazi wa mdachi mmoja kuvinjari eneo hilo akitokea rwanda. mdachi huyo alipomaliza miadi yake katika koloni la tanganyika ambalo wakati huo lilijumuisha nchi za rwanda na burundi, akarudi kwao na babu ya baba wa taifa akaamua kuishi hapo butiama!!
Siku utasikia Ridhiwani si mtz[/COLOR]Hii mbinu si mpya. Hao wazee wamejifunza kutoka CCM. Ni viongozi wangapi wa CCM waliowahi kuitumiikia nchi katika nafasi mbali mbali na kwa miaka lakini baadaye wakaambiwa si Watanzania?, wengine hata kubidi kuomba uraia upya? Nchi ina madudu hii!!!
Nimesoma habari hii kwenye Nipashe. Wazee wa huko kwake Morogogoro wamemwandikia JK barua kudai Mkulo ni Mmalawi .Wana JF hii kweli.?
In adding info to that kuna habari zinazodai pia Samuel Siita nae sio Mtanzania, ukitaka jua hili nenda Urambo ukatafute ndg zake kama utawapata, kule Urambo ana Tafuta jina Sitta kwa Wanyamwezi au Wasukuma huwezi lipata pia na hata wenye majina ya Sitta hawana undugu nae hata kidogo. Jamani hii ndio nchi yetu bana tunasubiri kuuzwa na sisi weneyewe
Nimesoma habari hii kwenye Nipashe. Wazee wa huko kwake Morogogoro wamemwandikia JK barua kudai Mkulo ni Mmalawi .Wana JF hii kweli.?
Sio kama wana hoja yenye mashiko,kwa hiyo hata Obama kwa kua baba yake alikua ni Mkenya basi nae hakustahili kua rais wa America?sioni kama hiyo kitu ina tija!
Umezungumzia ukabila,hoja ni UTAIFA,wewe vp?Mfamaji,
Sasa kama ana asili ya Malawi kuna tatizo gani?
Mkuu wangu hizi ni tuhuma za watu waliolewa mawazo ya bara ambao zamani tulikuwa tukiwaita Washamba. Ushamba ni pamoja na kutooona watu wa makabila mengine wakichanganyikana nanyi.. Hivyo kujichanganya kwao kumeletwa na Nyerere wakati huko pwani watu wa makabila walikuwepo karne na karne kabla hata ya kufikiria huo Uhuru.
Pili, Huwezi kuzungumzia asili wa mtu kama ndio Uraia wa mhusika. Kabila na Uraia, Vitu hivi havifanani na inaonyesha tena kwamba tunahitaji sana elimu ya Uraia kwani tunarudi katika Makabila kuzungumzia Uraia wa mtu. Na hakika tukifuata hivyo nchi zote duniani zitaingia ktk vita mpya ya Ukabila.