Hatimaye wazee wadai Mustapha Mkullo si mtanzania

Hii nchi ni kama comedy

nakumbuka mkurugenzi wa uhamiaji aliwahi fikishwa
mahakamani kwa kuwa sio raia...

Imagine mkurugenzi wa uhamiaji..........

Mkuu Tanzania nishamba la bibi Ndio maana viongozi hawana weledi, ukichunguza sana utakuta hata Jk ni muiraki inasikitisha sana
 
Ndio Mkullo ni Mmalawi cha ajabu kipi mbona kuna watu ambao sio asili yao hapa TZ na wamekuwa katika uongozi siku nyingi,nenda zanzibar kuna mmoja amewahi kuwa kiongozi na ana asili ya Malawi kwa baba yake mbona hamkusema,hata Mkullo mbona hamkusema alipokuwa madarakani,mumeona haluwa na tende za dezo zimeisha ndio mnaanza kumkana,hao ni wazee gani?
 
Hapa kwetu kinondoni wakongo wamekamatwa na polisi kosa kukaa nchini bila kibali,,na kamanda kova 2mpe tarifa 2 kiona raia wa kigeni,,,,hivi ile namba ya 999 inapatikana nimtwangie nimwambie kuhusu mkulo!????!!!?
 
Watanzania ,Eti mtu kashakuwa MILIONEA na vyeo vikubwa ,leo kwa ajili ya wivu, njaa,eti cyo raia,mlikuwa wapi cku zote,msisemee,Njaa na wivu vinatumaliza,,.nawe nenda Kenya kawe WAZIRI wa FEDHA.
 
Ndio Mkullo ni Mmalawi cha ajabu kipi mbona kuna watu ambao sio asili yao hapa TZ na wamekuwa katika uongozi siku nyingi,nenda zanzibar kuna mmoja amewahi kuwa kiongozi na ana asili ya Malawi kwa baba yake mbona hamkusema,hata Mkullo mbona hamkusema alipokuwa madarakani,mumeona haluwa na tende za dezo zimeisha ndio mnaanza kumkana,hao ni wazee gani?
Mbona unaongea kwa hisia hivi bwana Mfianchi Mutharika?
 
Kwani hawa wazee siku zote walikuwa wapi? Mkullo ameliongoza shirika la NSSF kwa muda mrefu sana, waziri miaka mingi wako kimya!! Mmm sijui kama habari hii ina ukweli wowote!! Nadhani wamekurupuka!
Nimesoma habari hii kwenye Nipashe. Wazee wa huko kwake Morogogoro wamemwandikia JK barua kudai Mkulo ni Mmalawi .Wana JF hii kweli.?
 
Raia halisi wa Tanzania ni akina Willie, Wagogo.
Wengine wote watu wa kuja.
Wachagga Kenya
Wanyakyusa Malawi,
Wahaya Uganda,
Waha Burundi,
Wanyantuzu akina Chenge Warundi wale
Wafipa Zambia na Kongo,
Wamburu na Warangi Ethiopia,
Wazanzibar Oman
Wangoni Msumbiji na South Afrika,
Wahehe South Afrika

Who is a Tanzanian citizen?
 
Mkuu Kwahiyo Kova nae ni Muethiopia?

Mkuu Wagogo wao pia wameonekana walitokea Congo kabla ya Kuingia Dodoma... Kambona alishasema kuwa Malecela nae Si Mtanzania Babu yao alitoroka kwenye Msafara wa Watumwa uliokuwa unatokea Congo
 
Raia halisi wa Tanzania ni akina Willie, Wagogo.
Wengine wote watu wa kuja.
Wachagga Kenya
Wanyakyusa Malawi,
Wahaya Uganda,
Waha Burundi,
Wanyantuzu akina Chenge Warundi wale
Wafipa Zambia na Kongo,
Wamburu na Warangi Ethiopia,
Wazanzibar Oman
Wangoni Msumbiji na South Afrika,
Wahehe South Afrika

Who is a Tanzanian citizen?

You are a great thinker!
 
Mtu mpaka anateuliwa kuwa waziri!, yale yale ya jenerali enzi za Rai ya ukweli. Nadhani mbo kama haya kukaa kimya na kufatilia mhusika kwa ukaribu ni busara zaidi kuliko kutangaza, hiki ni kiashiria kuwa hatuko makini!.
 
Hii nchi ni kama comedy

nakumbuka mkurugenzi wa uhamiaji aliwahi fikishwa
mahakamani kwa kuwa sio raia...

Imagine mkurugenzi wa uhamiaji..........

Ya ni kawaida foreigner huwa wanatend kupenetrate kwenye sensitive part of the system.We aza kufuatilia utaona wale waohisiwa nafasi walizo au wanazo zishika
 
Nimesoma habari hii kwenye Nipashe. Wazee wa huko kwake Morogogoro wamemwandikia JK barua kudai Mkulo ni Mmalawi .Wana JF hii kweli.?
...Hao wazee Mkulo amewanyima ulaji nini? Leo ndio wanasema kuwa sio mtanzania wanataka iwe nini sasa? Miaka yote walikuwa wapi? Low mind duh!!
 
Back
Top Bottom