Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Hiyo barua isiwatishe sana watu msiojua sheria kwa kifupi jeshi la polisi limepewa mamlaka makubwa ya kuchunguza jambo lolote ambalo wanahisi ni la kijinai kupitia sheria ya mwenendo wa mashauri ya jinai kuna vifungi kadhaa vinavyoainisha nguvu zao za kisheria jambo ambalo alipaswa kuwataka polisi ni kwamba mteja wake anakabiliwa na kosa lipi? hapo ndio pa kuanzia na huku akihakikisha kila hatua ya mahojiano anakuwa na mteja wake.

Hivyo vifungu vya sheria ulivyovisema ndo Wakili Kibatala kawataka police wavitaje lakini pia yale maagizo police waliyatoa kwa mdomo si kwa maandishi, Wakili Kibatala kawataka wayatoe kwa maandishi Basi.
 
sheikh ponda hakuwa na pesa ya kulipia gharama za uwakili. yule alikuwa mropokaji tu na sadaka hakushanyi. bora gwajima amekusanya sadaka, itamsaidia kulipa gharama za uwakili.

Hivi kuna mropokaji kuzidi mhuni Ngwajima?
 
Kwa mfano wasipoandika wakati alikubali kuwakilisha docs hizo Na ukumbuke docs hizo za usajili ni mali za serikali wanaweza kuziomba na kuzikagua wakati wowote. Mimi ningekuwa gwajima kama ninazo hizo docs ningepeleka tu kuliko kuleta ligi. Serikali inamkono mrefu. Anyway let us may be they want to set a precedence!!

Kibatala ana-buy time tu kwakuwa anajua muda si mrefu serikali ya ccm inayoonea watu ndo imefika mwisho.
 
Wampoteze tu uyo tumechoka na wa mkimbizi mmoja anaejichotea mi Mali tu nchi nyingine alf analeta kiburi
 
Huyu Kibatala mzoefu,Mallya alikuwa anapelekwa pelekwa tu na polisi.Wakiambiwa leta hiki wanapeleka.Kesi ilikuwa kumtukana Pengo hayo mengine yanatoka wapi?Sasa kwa kibatala polisi watatia adabu.Vifungu kwa vifungu tu.
Watu wanaangalia weakness yako wanaanza kuifuatilia na kuacha hoja ya msingi, Kesi kama hizi zina manufaa kwa wananchi wa kawaida kama sie pamoja na kwamba kuna ambao wanaingiza interest zao za kisiasa lakini ukweli hii tabia ya vyombo vya serikali kuwabananisha watu pindi watakapoonekana wanafanya vitendo ambavyo havipendezi kwa jamii au dola (kuna watu wameletewa TRA kukaguliwa na mambo kama hayo na wengine wamefirisika kabisa, kwahiyo kama asingesema yale maneno maana yake angeachwa apete tu hata kama amepora eneo la mtu)
 
Wala usimuingize Pengo, Pengo hajamshitaki mtu yeyote juu ya hilo, ni Kova na Abubakari wake wanajuana wenyewe huko.

Naona polisi wanataka kuchukua na majukumu ya TRA kufuatilia kama mapato na matumizi ya Gwajima yanameet vigezo vya kisheria.Sitarajii polisi kujibu barua hiyo maana watajifunga.

Natarajia Kamanda Kova kuonywa na IGP juu ya mikanganyiko hii isiyozingatia uweledi
Nadhani huu ndio utakuwa mwisho wa kutishana endapo Kibatara hoja zake zitaonekana zina mashiko maana kumekuwa na kautamaduni flani ambapo mtu akiwa mjuaji tu kesho yake anashushiwa watu wa TRA mara watu wa Uhamiaji ili mradi wamtingishe alegeze msimamo na hapo system ndipo inapoonyesha ina mapungufu kwa kuonyesha kwamba kama huna chokochoko hata kama ukikwepa kodi ni ruhusa (nguvu za kuwabananisha watu wenye chokochoko kwa kuwaletea TRA wafanye ukaguzi wa mahesabu zingetumika kwa watu mbalimbali bila kujali wana chokochoko ama la taifa lingekuwa limefika mbali
 
Swali lako limekosewa...
Ungeuliza hivi...

Wakuu hivi ile kadi ya gwajima ile ya uanachama wa CCM ni namba ngapi vile..??

NAPE%2BNA%2BGWAJIMA.jpg
Watu sijui majibu mnayatoa wapi na kukandamizia picha kabisa
 
kimsingi polisi hawana mamlaka ya kuomba vielelezo hivyo labda kama mahakama na labda wangekwenda na search warrant tena kutoka mahakamani!

Lakini bado najiuliza kwanini kibatala hakujitokeza kumtetea sheikh ponda?

kauana sheria kako kamekusaidia leo!
 
Kimsingi polisi hawana mamlaka ya kuomba vielelezo hivyo labda kama mahakama na labda wangekwenda na search warrant tena kutoka mahakamani!

Lakini bado najiuliza kwanini Kibatala hakujitokeza kumtetea Sheikh Ponda?

Kibatala na kampuni yao wapo kazini kama mwanasheria/wakili. Wamefuatwa na Gwajima kama mteja kupata huduma yao/yake. It is all about business like any other business. Sheikh Ponda angekwenda kuomba huduma ya uwakili angepatiwa kama mteja mwingine yoyote. It is all about business.
 
Kimsingi polisi hawana mamlaka ya kuomba vielelezo hivyo labda kama mahakama na labda wangekwenda na search warrant tena kutoka mahakamani!

Lakini bado najiuliza kwanini Kibatala hakujitokeza kumtetea Sheikh Ponda?

Kwa hiyo weee unadhani kibatala anafanya kazi ya kanisa pale?yule anahudumia mteja yoyote ili ajiingizie kipato, swali la kujiuliza ni kwanini sheikh ponda hamkumuajiri PETER Kibatala awe wakili wake?
 
Polisi wa Tanzania wanampa points za bure kabisa Wakili Malya na Kibatala ktk CV yake

Gwajima anakwenda kupata zuio la Mahakama within a minutes!Nimeandikiwa barua kuhojiwa kwa kesi ya kupiga mke wangu lkn nahojiwa muda wote kuhusu nyumba yangu na kibaya zaidi natakiwa nilete hati za nyumba yangu ya Kyela sijui waifanye nn!

Polisi wa TZ bure kabisa wanatutia tu aibu

Zuio gani hilo mkuu hebu fafanua nidogo hapo
 
Peter Kibatala komaa hadi mwisho hao polisi wachumia tumbo hawana haki ya kudai risiti,certificate ya kanisa and the like,TRA,BRELA ndio mamlaka husika wa kudai,Gwajima anatoa huduma ya neno la mungu,ni sawa na humphrey polepole anavyotoa elimu ya katiba,kumdondosha gwajima kwakua anamsapoti lowassa na Dr.W.Slaa haiwezekani,kama mliwafanyia hivyo matajiri wa zamani kwa gwajima mmeingia choo cha kike,mtakutana mahakama kuu na Mwanasheria nguli asiye na rekodi ya kushindwa kesi peter kibatala.
 
Last edited by a moderator:
Umejipambanua kweli!! kwa hiyo makanisa yanashughulika na Siasa? nasubiri nimuone Tundu Lisu kama nae ataingia hapo ili kuipeleka CDM lkulu,

angeenda na tundu lisu hapo, CHADEMA INGEPAISHWA SANA tena wakati huu wa uchaguzi. kuna watu wengi sana wana hasira sana na ccm kuona inamshambulia sana huyu mchungaji wao wakati mafisadi wameachwa wanaingia hadi bungeni. kibatala namwamini ni mzuri sana lakini kwaajili ya publicity ya chadema, tundu lisu pia atie timu ili walokole wooote waikatae ccm mwaka huu. movie huko makanisani ndio iko hivyo kwamba walokole mwaka hu wataipigia chadema au cuf au chama chochote cha upinzani lakini sio sisiemu. wafuasi wa pengo peke yake ndio wataipigia ccm.
 
Wakuu hivi ile kadi ya gwajima ile ya uanachama wa chadema ni namba ngambi vile.

Na.145556668899886532234567899865333567889995434568899964456788956799799075323456666679907323689094111223578998769084321256777 nadhani umeridhika na wewe kadi yako ya ccm b ni namba ngapi vileeee
 
Back
Top Bottom