Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

Wampoteze tu uyo tumechoka na wa mkimbizi mmoja anaejichotea mi Mali tu nchi nyingine alf analeta kiburi

Mkimbizi kutoka nchi gani; ? Kanisa lake limesajiriwa 1997 kama hadi leo ndio serikali inajua ni mkimbizi, ku a maofisi wanatakiwa wajiuzulu.
 
ok ni mrundi kumbe?
kama ni hivyo tu kila mtu si mtz, na mke wa rais wako wanyarwanda walisema ni dada yake na habyarimana ndio maana mshikaji alikomaa kwa kagame sana. hivyo naye anahitaji deportation kama allegation tu zinaweza kuunda hoja kwamba fulani sio raia.
 
Kwanini polisi unawachanganya na CCM? Polisi wanafanya kazi yao na wala hawanauchaguzi wowote ambao wataitaji kura. Suala hapa ni sheria tu ndugu yangu, ujinga wako unatakakumlitisha kila mtu. Wakili wa mlalamikaji ansema taarifa/maagizo ya mdomo kisheria hayafanyiwi kazi, la kufanya jeshi letu liandike barua ili ijibiwe kwa kuifuat au kuisahihisga au kuikataa. Ebu badilika.
 
Mbona hakujitokeza kumtetea Sheikh Ponda?

Au Gwajima ana uhusiano gani na CHADEMA?

Siku ya kwanza ya mahojiano magazeti yalireport mawakili watatu wa Gwajima akiwepo Kibatala na Neema kama sijakosea, kwahiyo kibatala hajaibuka tu, alikuwepo!! Nilimsikia Gwajima akisema wanaurafiki wa karibu na Dr Slaa, hii inaweza kuwa ndio sababu ya kutumia mawakili wa Chadema, maana nasikia Mallya naye ni wakili hatari sana anayechipukia ndani ya Chadema!!

Kwa mwenendo huu polisi wasilogwe kupeleka hii kesi mahakamani maana Tundu Lissu anaweza kuingia ndani na Mabere Marando hii kitu itafanya watanzania wote kwa ujumla wao wafungue macho na masikio yao kwenye hili sakata!!
 
Tutajie nguli unaowajua wewe, sisi ndio tutakuambia ni nani?
 
Siku ya kwanza ya mahojiano magazeti yalireport mawakili watatu wa Gwajima akiwepo Kibatala na Neema kama sijakosea, kwahiyo kibatala hajaibuka tu, alikuwepo!! Nilimsikia Gwajima akisema wanaurafiki wa karibu na Dr Slaa, hii inaweza kuwa ndio sababu ya kutumia mawakili wa Chadema, maana nasikia Mallya naye ni wakili hatari sana anayechipukia ndani ya Chadema!!

Kwa mwenendo huu polisi wasilogwe kupeleka hii kesi mahakamani maana Tundu Lissu anaweza kuingia ndani na Mabere Marando hii kitu itafanya watanzania wote kwa ujumla wao wafungue macho na masikio yao kwenye hili sakata!!

Ground truth upo sawa kabisa...
 
Siku penda matusi ya Gwajima wala sikuwahi kumshabikia ila kwa mashataka haya yasiyo na grounds za kisheria nafikiri alionewa. Hebu tuone sheria inasemaje kwa watu formal kufanya mambo informal.

Halaf pengo si alisha msamehe?, hiv hawa polisi wana geound zip za kumshitak mtu ambaye muhusika alisha msamehe, kama wana lao waseme na pia tunasubiri aanguke mara ya pili maana hii anguka anguka mbele ya polisi tunaanza kuizoea sasa...
 
Hiiii hiiii hiiiii
Ajira kwa majina blaza!.
Unakwenda pale Resume yako ina jina la

MOGOLA MACHIYA NAHENE

unadai umesomea sheria sijui kwa malikia YUKEI, wanaangalia historia ya Tanganyika TANU hadi CCM hawaoni MStaafu yeyote mwenye jina kama lako kawahi kuwa Pilato hata ile Primary court tu.

Isiwe shidaaa! Jina lako linatupiliwa huko, kaombe kazi anakofanya Mabere.

kama ni Kibatala sasa Movie ndo limeanza..... polisi watafuta kesi kesho asubuhi na mapema.... ujue nchi hii nimeshagundua kuna wanasheria pasua kichwa sijawahi ona. Peter kibatala, Tundu lissu na Mabere nyaucho Marando. ajabu serikali imebaki kuajiri wanasheria vilaza na kuacha vichwa
 
Rai halisi wa Tanzania ni Wagogo tu.

Le Mutu.

Ingawa LeMutu kachanganya damu, ya kigogo na ya kule kwa afande MWamunyange MB

Wewe kama siyo Mgogo ni mkimbizi tu nchi hii.
 
Hivi si kisheria mtu unaruhusiwa kutotoa statement yoyote Polisi akiona inafaa kufanya hivyo? Na ikitokea hivyo unayo ruhusa ya kupelekwa mahakamani na kujitetea huko kisheria?
Nadhani Gwajima anaweza kukataa kupeleka zile document na polisi wanachoweza kufanya ni kupeleka kesi mahakamani basi! Sheria ni pana sana na tafsiri zake ziko mahakamani tu, ndio sababu mawakili wanahitaji maelezo ya polisi ili wakapate maelezo ya kisheria mahakamani:heh:
Sorry mi si mwanasheria lakini najua vitu kidogo vya kisheria maana kutojua sheria pia kunatunyima haki zetu.
 
Nakumbuka mwaka flani 2011 kuna msoma nyota flani alikuwa akijiita shehe alikufa live mbele ya waTananzia wote...na alikuwa na katabia ka kumjibu na kumkebei Askofu Gwajima...nadhani kuna mmoja mwaka huu nayeye lazima atakaushwa....kwenye bibilia Mungu alishawai kuuwa wazaliwa wote wa kwanza kisa kummbishia bishia Musa....naona kuna watu wanaenda kupokea mshahara wa yoote wanayoendlea kumfanyia Gwajima na kanisa kwa ujumla
 
ushabiki wa gwajima unapindua hata kazi za polisi.
hivi nauliza kwani akipeleka kuna kosa gani msimpoze mtu ili aharibikiwe kwani gwajima anawasiwasi gani ili ashindwe kupeleka vielelezo.
taasisi ya gwajima imesajiliwa na polisi asipopeleka wanauwezo wa kufuta taasisi yake.
sasa nyinyi mashabiki mnaempotosha gwajima mtabakia aaahaa haiwezekani lakini kishafutiwa hivyo

Kha bushlawers bhana! Kabisa polisi ndiyo mahakama kwahiyo wana uwezo wa kuthibitisha hayo na kufutilia mbali taasisi!
Hebu kasome japo certificate pale Lushoto!
 
Rai halisi wa Tanzania ni Wagogo tu.

Le Mutu.

Ingawa LeMutu kachanganya damu, ya kigogo na ya kule kwa afande MWamunyange MB

Wewe kama siyo Mgogo ni mkimbizi tu nchi hii.
Le Mutuz kanenepa sana hadi Akili zake zimejaa Mafuta uwezo wake wa kufikiria umefika kikomo, amebakia kuchepuka na Vitoto chini 18yrs
 
Nakumbuka mwaka flani 2011 kuna msoma nyota flani alikuwa akijiita shehe alikufa live mbele ya waTananzia wote...na alikuwa na katabia ka kumjibu na kumkebei Askofu Gwajima...nadhani kuna mmoja mwaka huu nayeye lazima atakaushwa....kwenye bibilia Mungu alishawai kuuwa wazaliwa wote wa kwanza kisa kummbishia bishia Musa....naona kuna watu wanaenda kupokea mshahara wa yoote wanayoendlea kumfanyia Gwajima na kanisa kwa ujumla

Kwani Sumbawanga siku hizi hawapo Top 3 ?
 
Back
Top Bottom