Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Basi lile tukio halina tofauti na hili.
Acheni kulia Lia humu
Wala siyo matukio mawili.Kuyaita ni matukio mawili ni porojo tu.Tukio ni moja tu na tukio hilo linahusu wanachama halali wa chadema 19 kwenda kinyume na makubaliano ya kikao cha kamati kuu ya chama kitu ambacho ni kinyume na katiba ya chama.Hakuna tukio lolote baya ambalo liliwahi kutokea dhidi ya chadema likimuhusisha Lowassa.
 
Wewe mbona unatangaza wanaokutongoza!!??
Maadili hayo!??

Wacha ushamba kidogo basi.... Yaani ulichokiandika hapo wa kinatueleza ulivyo baba wa ajabu hapo nyuma ya keybord😁😁😁 Kwani na wewe ni production manager wa kile kiwanda chenu cha uongo?

Kha! kwa mienendo hii ya wanaume wa chadema wacha tuu niendelee kuwapongeza wanawake wale 19 kwa kuwakimbia
 
Kwamba wewe na CCM damu damu
Sifahamu chochote kuhusu CCM, ilani yao siijui, sina kadi na sifahamu chochote zaidi ya kwamba wapo imara kuliko vyama vingine, wanasimamisha wagombea wanaojielewa, wana uzalendo.
Kwenye uchaguzi nilimchagua diwani wa chadema maana wa CCM sikuona kama anafaa.
Kiufupi mimi ni mzalendo mpenda amani hutanikuta kwenye group lolote linalochochea vurugu kwa namna yoyote ile.
 
Wala siyo matukio mawili.Kuyaita ni matukio mawili ni porojo tu.Tukio ni moja tu na tukio hilo linahusu wanachama halali wa chadema 19 kwenda kinyume na makubaliano ya kikao cha kamati kuu ya chama kitu ambacho ni kinyume na katiba ya chama.Hakuna tukio lolote baya ambalo liliwahi kutokea dhidi ya chadema likimuhusisha Lowassa.
Viti vile ni sehemu ya ushindi na ni haki yao.
Mnatamani hata vingebadilishwa viwe vya wanaume
 
Sifahamu chochote kuhusu CCM, ilani yao siijui, sina kadi na sifahamu chochote zaidi ya kwamba wapo imara kuliko vyama vingine, wanasimamisha wagombea wanaojielewa, wana uzalendo.
Kwenye uchaguzi nilimchagua diwani wa chadema maana wa CCM sikuona kama anafaa.
Kiufupi mimi ni mzalendo mpenda amani hutanikuta kwenye group lolote linalochochea vurugu kwa namna yoyote ile.
Sawasawa hapo umeandika vitu kuntu kabisa.
 
Viti vile ni sehemu ya ushindi na ni haki yao.
Mnatamani hata vingebadilishwa viwe vya wanaume
Kila mtu anajua ya kwamba CCM awamu hii badala ya kuiba kura walilawiti uchaguzi.Chama hakitambui ushindi haramu wa CCM.Suala la kuisusia serekali haramu ya CCM ni suala la kisheria ambalo lilipitishwa katika kamati kuu na kusainiwa na wajumbe wote ikiwa ni pamoja na hao waliosaliti makubaliano hayo.

Suala la kuisusia serekali haramu ya CCM ni makubaliano ya chama wala siyo suala la kijinsia.Wanaolihusisha suala hili na mambo ya kijinsia ni wana CCM walioishiwa hoja kwa hiyo wanachofanya ni kupiga tu porojo za hapa na pale zisizokuwa na mashiko wala uthibitisho.
 
Kila mtu anajua ya kwamba CCM awamu hii badala ya kuiba kura walilawiti uchaguzi.Chama hakitambui ushindi haramu wa CCM.Suala la kuisusia serekali haramu ya CCM ni suala la kisheria ambalo lilipitishwa katika kamati kuu na kusainiwa na wajumbe wote ikiwa ni pamoja na hao waliosaliti makubaliano hayo.

Suala la kuisusia serekali haramu ya CCM ni makubaliano ya chama wala siyo suala la kijinsia.Wanaolihusisha suala hili na mambo ya kijinsia ni wana CCM walioishiwa hoja kwa hiyo wanachofanya ni kupiga tu porojo za hapa na pale.
Uchaguzi ulishaisha

Wabunge walishaapishwa na walishakubaliana na matokeo..sasa nyie endeleeni kulialia

Kaandamane kama unaona uchaguzi ni haramu
 
Huwezi kulawiti uchaguzi na kukimbilia kusema kuwa uchaguzi ulishaisha labda uwe na matatizo ya ubongo.Haki lazima iendelee kupiganiwa.Haki huwa haitolewi bure.Lazima tuendelee kuipigania na kuidai.Hata mkoloni alichelewesha kutoa haki ila mwisho wa siku alisalim amri, sembuse huyu mkoloni mweusi?
 
Nenda kadai hiyo haki
Sisi tunachapa kazi,na wenzenu kina mdee Wanaenda kuchapa kazi.
 
Back
Top Bottom