Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

Napenda kuwapongeza Wabunge wa viti maalum wa CHADEMA hakika hawajapewa hisani bali ni ushindi wa asilimia 10 ,drmokrasia oyeeeee ,Tanzania oyeeee
 
Sawa binti, nitaendelea tu kuhesabia watu hela zao maana kwako wewe benki ni kuhesabu hela tu! Angalao mimi nilikua na ujasiri wa kua mwanachama hai wa CHADEMA mpaka jana

Nitamsaidia Chatu na kumpongeza kwa kazi nzuri ya kummeza huyo mwana CCM!
 
Kwani Lowassa kafanya/alifanya kosa gani dhidi ya chadema hadi umlinganishe na hawa wanawake wa sasa hivi ambao wamevunja makubaliano ya kamati kuu ya chama?
Ilikuwa sawa kumchukua na kumsafisha?
Kama jibu ni Ndiyo basi hata hawa wapo sawa tu.

Utajua hujui
JamiiForums-1797206813.jpg
 
Unapomaliza siku na kuanza kurejea nyumbani taratiiiiibu..... wapinzani wamekaa kaa wamekaa kaa

Wapinzani watetereke sana
 

namuona kamanda Mdee, Matiko, Bulaya safi sana huo ndio uzalendo wa kweli. Hongereni sana sasa kachapeni kazi kuwaletea maendeleo wananchi
 
kati ya Novemba 8 na Novemba 24 kuna mengi yametokea, Kuchukua yale yaliyosemwa na mnyika Nov 8 yakafanywa ni ya Nov 24 si sahihi. Tusubiri press yake
 
Tatizo lake Lissu ni kutumikia mabwana wawili (I don’t mean in a vulgar way).

Yupo busy na agenda za hakina Amsterdam bila ya kujali madhara ya sura ya chama chake mbele ya jamii; katika hizo harakati ambazo ni self-motive anaki implicate chama chake mahala pabaya waonekane watu wanaotaka kuona watu maskini waumie.

Si ajabu anafanya hayo pengine bila ya kuwashirikisha wenzake katika mikakati yake.

Mbowe and company have a duty to build public support, yeye yupo busy akishirikiana na wazushi wa Twitter kukisogeza chama mbali na wapiga kura, akitegemea nguvu ya mabeberu.

Wakujilaumu ni Lissu mwenyewe for pursuing his selfish motives, badala ya kukaa na wenzake kuangalia wanajipanga vipi.

Mbowe has put him in his place, the message is clear.
Mmoja kasema watu wakiteseka kutokana na vikwazo watailaumu CCM. Ninachojiuliza ni je, hawa watu hawaoni nani anaitisha hivyo vikwazo?
 
Back
Top Bottom