Hatimaye tumechukua no moja

Hatimaye tumechukua no moja

Kule mkuu ndoa hukabidhiwa kwa mti wa porini kabla haijafungwa. Unaambiwa wewe mtu ulivyosimamz miaka 100+ na ndoa yangu isimane hivyo hivyo
Lakini wanasumbuka bure tu mbona mie nilishazimikaga tu hata bila kurogwa
 
No need to logaring me ie sindimba tu ilitosha kabisa na ukichangia na chura kajaaliwa sasa sijui kwenye kuroga wanataka nini zaidi
Mume wa shost alihama kama utani, huko tukaambiwa anasomesha mashemeji na wakwe amewajengea nyumba. Katika kuhangaika aliambiwa sandlike maumivu huyo mke mwe za amekwenda Malawi na Msumbiji.

Shost amekuwa mlokole.
 
Haraka maana mmmmh.. kweli malavidavi yanachukua muda wa mtu

Sawa ni yule nyapu nini.. maana naona ametulia kwasasa amepiga kimya fulani.. eeeeh.. umentisha utamuacha kweli kweli..
huo unaitwa uchokozi sasa
 
Na wanaoongoza hapa kwetu ni wanawake/wadada, yaani wanaume tuna kazi sana tunagawanwa na hawa viumbe kama mpira wa kona, ukirudi home mwanamama anafanya yake, ukikaa mezani house girl anafanya yake,ukienda kwa mchepuko nae anakolezea kwake,yaani tupo tupo tu kama misukule
 
60% ya wafanyabishara ndumbaa,65 ya wanawake dumba,kazini watu wanatumia dumba kama hawana akiri
 
Wame exclude Nigeria 😂😂😂, sijui waliroga takwim zenyewe 🤗
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom