Hatimaye tumechukua no moja

Hatimaye tumechukua no moja

mkuu mie pia naamini katika ndumba ila sina chale, naishi na mtoto wa bro. yuko std 5 kila akienda kwa mama yake anarudi na chale mpyaaa huwa nashindwa kuzungumza nakausha tu.

nna jamaa yangu anafanya kazi taaisisi flani kuna kazi zitatangazwa hivi karibuni, anataka nihamie huko anasema nisihofu tofauti na kujuana na watu wake ila juju ni muhimu sana.

naungana na iyo ripoti juju zipo na mimi naamini sana huko
Kwa kweli ni wachache sana wanaokubali dhahiri kuwa wanaamini.
Na wewe ni mmoja wao, wengi wanaficha na hata wakiwa wanaenda kwa mganga utasikia tu nina kasafari kidogo.

Uchawi upo lakini namuamini Mungu sana na huwezi kujua tumejaribiwa mara ngapi ila kama halijakupata halikupati tu.

Wengi sana wana amini na wanafanya mambo yao na kutatua matatizo ingawa wanapigwa hela kila siku.

Kwa kuwa silikubali huwa nashangaa sana mtu hana kitu kabisa lakini bado anaenda kwa mganga
Najua wengi wanaamini haya lakini tutafanyaje sasa
 
Aliyetunga hii takwimu angekuwa karibu ningempatia zawadi

Tanzania tunaamini ushirikina mpaka kero

Mabasi yakiwaka moto tunadai uchawi wakati ni hitilafu kwenye mifumo ya umeme,poor service,kuweka mafuta ilhali gari ipo on nk nk lkn tunaanza kulaumu majini ,

Viko vingi vya kushangaza ila kwa hili Tz tunaongoza sipingi hii takwimu
 
Mmh! Takwimu inatungwa kweli? Basi hawa wanaweza kuwa TWAWEZA
 
Kweli tuliibiwa na kuonewa kwa muda mrefu sana, angalau heshiwa imeanza kurudi, tunapostahili kuwa tunawekwa, hapo hawakuchakachua kabisa.
 
hapa ingekuwa tunaongoza kwa uchumi Africa,kama nawaona uvccm +jiwe wanavyoshangilia
 
.
945cd5504f9e03897bdae09050199c24.jpeg
223618ebd791c4a146d021bb2106daf7.jpeg

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom