[emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji30] huo unaitwa uchokozi sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu mlio wenyewe usikute ni ule wa tigo beatWrite your reply...
uchawi bhana ka hujawahi shuhudia utasema haupo,kuna siku mkoani huko rukwa, tumetoka nyumbani tunaelekea mtoni kuoga mchana mida ya saa 7 hivi,njiani tukakutana na kundi kiasi la watu wakishangaa shangaa,kwenda kuangalia kunani,katikati ya lile kundi tunamkuta kijana kalala uchi wa mnyama huku akilia kwa sauti kubwa sana tusielewe kinachoendelea,watu wakaanza kumsema aache wizi,mara ooohh amezoea kuiba vitu vya watu,wengi wakicheka,wengine wanasikitika,walikuwepo wanaoshangilia,basi wakamnyamazisha...lahaula,kumbe akinyamaza na mlio wa simu unaanza kulia tumboni,aisee ile siku nilishangaa sana,ikabidi niulize huyu bwana kimempata nini?..jamaa ni kibaka na mwizi mzoefu maeneo Yale,sasa siku hiyo aliiba simu kwa mtu asiyemjua kwenye gari ya kwenda mnadani!!ikabidi jamaa wamchujue hadi kituo cha polisi,huku si tukifuata,jamaa akiendelea kulia njia nzima,ile kufika tu polisi wakaanza kushangaa badala ya kutoa huduma,wakamwambia anyamaze ili atoe maelezo,ile ananyamaza tu,na simu nayo inalia tumboni,basi kituo kizima kikaangua kicheko cha haja!!
😂😂😂😂😂Tunapaswa kujipongeza jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 909547
Mshana na Mobeto wametubeba sanaUna mchango mkubwa sana katika hili Mshana Jr
mkuu mie pia naamini katika ndumba ila sina chale, naishi na mtoto wa bro. yuko std 5 kila akienda kwa mama yake anarudi na chale mpyaaa huwa nashindwa kuzungumza nakausha tu.Kwa kweli hili nakubaliana nalo kabisa kuwa Tz wanaongoza.
Wengi unaewaona lazima wana chale awe mwanamke au mwanaume
Yaani wengine wanaingia kazini na chale mpya karibu na jicho ukimuuliza anajiumauma tu
Kweli ndumba haiishi duniani
Kwa kweli tena 92 ? Tumewaacha mbali sanaTunapaswa kujipongeza jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 909547
Duuuh salaaaalehMume wa shost alihama kama utani, huko tukaambiwa anasomesha mashemeji na wakwe amewajengea nyumba. Katika kuhangaika aliambiwa sandlike maumivu huyo mke mwe za amekwenda Malawi na Msumbiji.
Shost amekuwa mlokole.
Hahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]