Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,011
- 32,907
Mwamba Kila Baada ya dk 10 alikuwa anapost kwenye social media zake akiwananga Yanga na kampeni yao ya hatuchezi
Pia alipinga sana kuwa tamko la yanga la kutaka viongozi wajiudhuru ....halikuwa ni tamko la timu 48 za ligi za TZ...hivyo akaliita ni tamko la HOVYO na ni batili ( invalid) since ni la timu Moja[emoji23][emoji23]
Note: Ahmed ally hakujua kuwa some times huku Yanga ... kidole kimoja kinavunja chawa[emoji23][emoji23]