Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,058
Inawezekana but ukikiacha hicho chuo umechochaguliwa,ukaomba kingine ukakosa tena ilihali umeshatemwa Cha mwanzo uoni utakuwa umekatiza ndoto zako za kwenda chuo kikuu?Kama umechaguliwa chuo kimoja. Unaweza ukapply chuo kingine kwa second round?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wameshatoaHivi wenye multiple selections UDSM watajuaje program waliochaguliwa? Au una confirm chuo bila kujua program. Nilitegemea chuo chetu KIKUBWA kiwe kimetoa majina na program mtu aliyochaguliwa kama wenzao wa UDOM, Mzumbe, na SUA. Au nacho kinakuwa "CHUO CHA KATA?" LoL
Mbona wameshatoa
Mkuu tunaitafuta hatuipati hebu tupe link. Au kama itakupendeza tuwekee hapa. ThanksMbona wameshatoa
kafanikiwa kucomferm chuo??
dah me nliwapigia wakanambia mchana watakuwa tayar washa-update,ndo nataka ncheki hapa onetymSijui UDSM wamekumbana na nini? Kila mtu kimya
Mkuu ahsante kwa taarifa. Bado hawajatoa tutasubiri.dah me nliwapigia wakanambia mchana watakuwa tayar washa-update,ndo nataka ncheki hapa onetym
Unaweza kuwapigia chuoni kupitia namba za simu walizoweka kwenye mfumo na uwaulize katika mazingira haya ufanyeje. Binafsi namsaidia dogo ambaye bado yuko JKT pamoja na kupata code lakini ilinisumbua sana kuja kukubali. Nimejaribu toka saa tatu usiku jana nilipopata code na imekuja kukubali leo saa nane mchana. Nilikuwa nimepanga kuconfirm chuoni kwa email na nakala kupeleka TCUna huo ungekuwa ni ushahidi wangu kama nafasi ya dogo ingefutwa kwa tatizo la kutokuconfirm. Ni shida!!!Hivi ni mimi tu ndo sijapata hizo codes mpaka sasa hivi ama kuna wenzangu?
Tujuane ambao mpaka sasa tunasubiria hizo codes na tuone tunapataje ufumbuzi maana leo ndo mwisho, kama ni kuwanunulia vocha TCU tuwanunulie tu ili waweze kutuma hizo msg za codes maana inaonekana vyuma vimekaza kwa upande wao mpaka wameshindwa kuunga "yunivasiti promosheni" watume "kodi"
Mimi nimeconfirm kwa dogo anayekwenda St Johns, japo imesumbua sana toka jana saa tatu nilipopata code na nikaanzisha uzi huu, lakini imekuja kukubali leo saa nane za mchana.Hivi wakuu kuna yeyote yule ambaye tayari kapata code na tayari amefanikisha kuthibitisha chuo anachokitaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo code zinahusika na kuthibitisha kuwa umeikubali kozi na chuo walichokuchagua. Code hii unayo peke yako kwa hiyo hakuna chuo wanachoweza kukusingizia kuwa umethibitisha kwao kama ilivyokuwa mwaka jana.Hizo code ndio zinahusika nanini?
kuanzia leo ieleweke kwamba "Tecno sio Simu"
Aisee basi mambo yamebadilika sana.Hizo code zinahusika na kuthibitisha kuwa umeikubali kozi na chuo walichokuchagua. Code hii unayo peke yako kwa hiyo hakuna chuo wanachoweza kukusingizia kuwa umethibitisha kwao kama ilivyokuwa mwaka jana.
mkuu na case ya code kukataa toka asubuhi embu nipate experience umefanikiwaje maana code ninayo toka jana ila inagoma.Unaweza kuwapigia chuoni kupitia namba za simu walizoweka kwenye mfumo na uwaulize katika mazingira haya ufanyeje. Binafsi namsaidia dogo ambaye bado yuko JKT pamoja na kupata code lakini ilinisumbua sana kuja kukubali. Nimejaribu toka saa tatu usiku jana nilipopata code na imekuja kukubali leo saa nane mchana. Nilikuwa nimepanga kuconfirm chuoni kwa email na nakala kupeleka TCUna huo ungekuwa ni ushahidi wangu kama nafasi ya dogo ingefutwa kwa tatizo la kutokuconfirm. Ni shida!!!
Msaada kiongozi umepata ujumbe gani maana sielewi apaMimi nimeconfirm kwa dogo anayekwenda St Johns, japo imesumbua sana toka jana saa tatu nilipopata code na nikaanzisha uzi huu, lakini imekuja kukubali leo saa nane za mchana.
mkuu hongera wengine codes zipo ila zimegoma comfirmationmbna codes znakuwa hazina maana tena kwa udsm,maana hakuna sehem ya kuingiza code,kuna sehem ya ku-confirm tu...
embu angalieni account yangu hii apo attachment nmeiscreen shot
tuko pa1 kkMkuu ahsante kwa taarifa. Bado hawajatoa tutasubiri.
thanx qaqa,chuo gani hicho codes zinagoma?mkuu hongera wengine codes zipo ila zimegoma comfirmation