Hatimaye TCU wameanza kuachia code

Pia sijatumiwa mpaka sasa hivi sielew ttz nini haswaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm bdo pia cjapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm bado sijapata hizo code
 
hivi wakuu udsm hawajatoa hayo majina ya first round?????
Na mimi nasubiria hicho kitu mkuu, ukipata jibu tushtuane.
Hivi wenye multiple selections UDSM watajuaje program waliochaguliwa? Au una confirm chuo bila kujua program. Nilitegemea chuo chetu KIKUBWA kiwe kimetoa majina na program mtu aliyochaguliwa kama wenzao wa UDOM, Mzumbe, na SUA. Au nacho kinakuwa "CHUO CHA KATA?" LoL
 
Ndio hicho kinachotatiza mkuu.
Sijui mtu utathibitishaje ilihali hujui kozi uliyochaguliwa.

Kwenye status zao hawajaonesha kozi aliyochaguliwa mtu, ebu tusubiri labda wanaweza kutoa hizo kozi baadae
 
Mm bdo pia cjapata

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kwa nini swala dogo kama hili linaumiza vijana wetu kwa kiasi hiki? Sasa hivi hawa wanaosubiri hizi code hawana amani kwa kuwa hakuna chochote kutoka huko TCU cha kuwatia hata moyo. Hapo ofisini kila mtu na kitengo chake yupo, mkurugenzi wa TCU yupo, wasaidizi wake wapo, wizara ipo, waziri yupo sasa kwanini haya yote.......sometimes JPM Hakoseagi anapoamka nao na kulala nao mbele!
 
Yani mkuu waache tu,huko maofisini wamerelax tu wakati huku madogo wanahangahika tu,wasengerema tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwenyew nasubiria code bado hawajanitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, samahani kama nitakuwa nauliza swali ambalo limeshajibiwa huko nyuma. Ni hivi, kama jina halipo kwenye haya majina, basi inawezekana muhusika, kachaguliwa chuo kimoja, au hajachaguliwa kabisa. Sasa nitajuaje kwa hayo mambo mawili?
Nenda internet cafe ukacheki Kila chuo majina yawaliochaguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…