Hatimaye Serikali imefanya kweli Hongera kwa kuzinduka

Hatimaye Serikali imefanya kweli Hongera kwa kuzinduka

Mie binafsi nimeona hilo tangazo kwa mara ya kwanza kama wiki tatu au mwezi sasa. Kilichonishangaza na kunisisimua ni time slots walizoweka maana si za "kitoto" ni primetime....yaani ni ule wakti ambao kuna kuwa na "traffic" kubwa ya watu kuangalia TV na commercials ni bei mbaya.Huwa wanaonyesha kuanzia wakati wa YWT (your world today),Situation Room, Money line,AC360 thru Larry King.
Tangazo ni fupi sana labda 15 to 30 sec or less, linaonyesha watu wanacheza ngoma then kuna kuwa na mlima kilimanjaro na kama sikosei Twiga...then yanatoka maandishi yanasema welcome to Tanzania the land of Serengeti and Kilimanjaro, ni tangazo nzuri na right on point!!!!!!!!!!!. Lakini ktk kauchunguzi kangu kasiko rasmi ni kuwa matangazo hayo yapo kwenye ile market kubwa ya toka Chicago, NYC to Boston, huko maporini kwa "smalltown, USA" hawajaanza kuonyesha. Si haba ni hatua kubwa sana!!!!!!!!.
 
Ninaipongeza serikali kwa tangazo hili la cnn..... ni jambo zuri sana kuitangaza nchi..... I pray kuwa wageni na investors ambao watakuja nchini watakuta njia nzuri za barabara na huduma nzuri na za uhakika za maji na umeme.

Kila jambo zuri huanzia somewhere na huu ni mwanzo mzuri!
 
Ninaipongeza serikali kwa tangazo hili la cnn..... ni jambo zuri sana kuitangaza nchi..... I pray kuwa wageni na investors ambao watakuja nchini watakuta njia nzuri za barabara na huduma nzuri na za uhakika za maji na umeme.

Kila jambo zuri huanzia somewhere na huu ni mwanzo mzuri!

aaammmmmeeeeen.
 
lakini haya mambo ya kusikia matangazo ya tanzania kwenye cnn sijaanza kusikia jana wala leo, its been like 6-7 months now ! we'll see !

Mjomba Kada,
Walau mara moja moja kuwa positive basi ja!!.....................maana wewe ni upinzani tu kama jina lako la "ukoo", it's like umepania kuwa negative ni poa lakini at times pia unakuwa unaboa!!!!!. kwi kwi kwi.
 
haya ya kupongezana kupita kiasi ndo tunayakataa kila wakati ... kwani wamefanya nini cha ajabu? arent they doing their job? , wenye uelewa wa marketing na uchumi please comment on issues raised by Game Theory.
 
Kuna mtu yeyote ana-TiVo CNN ili atuwekee hapa ili angalau niyaweke kwenye website hayo matangazo.
 
Tumpe muungwana kahongera kake!.Walau kwa hili tumeona vitendo siyo usanii na maneno matupu!Sasa namchallenge kwenye direct flight kutoka USA mpaka bongo kama ataiweza!
Wembe.
 
Kwa muda wote nimekuwa nashangaa kusikia na kuona JK anaongozana na lundo la watu wanao jiita kuitangaza Tanzania . Wakapokewa na wasanii eti wanafanya Miss Tanzania London na tena kule kichochoroni Tottenham wanasema wanaitangaza Tanzania na Utalii wakati wanao hudhuria ni wabongo ambao wamekaa sana TZ hata Mikumi hawajawahi kukanyaga.

Nilikuwa najiuliza why we are behind kufanya matangazo tunakalia Usanii. Leo nimefarijika baada kusikia kwamba sasa matangazo yetu yako CNN US na CNN International yanakuja muda wowote . That is good an njia hii ni bora zaidi ya kuitangaza Tanzania badala ya kubeba washikaji kwa jina la kwenda kuitangaza TZ.
 
Back
Top Bottom