Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,898
Kwa muda wote nimekuwa nashangaa kusikia na kuona JK anaongozana na lundo la watu wanao jiita kuitangaza Tanzania . Wakapokewa na wasanii eti wanafanya Miss Tanzania London na tena kule kichochoroni Tottenham wanasema wanaitangaza Tanzania na Utalii wakati wanao hudhuria ni wabongo ambao wamekaa sana TZ hata Mikumi hawajawahi kukanyaga.
Nilikuwa najiuliza why we are behind kufanya matangazo tunakalia Usanii. Leo nimefarijika baada kusikia kwamba sasa matangazo yetu yako CNN US na CNN International yanakuja muda wowote . That is good an njia hii ni bora zaidi ya kuitangaza Tanzania badala ya kubeba washikaji kwa jina la kwenda kuitangaza TZ.