Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Makaburu walikuwa na maguvu na walitisha kuliko nyie.Hata Baadhi ya familia ya Nelson Mandela waliyokuwa waoga waligwaya na kumruka mchana kweupe. Kwa vile walikuwa wa shetani mwisho wao pamoja na misuli yao walifika mwisho. Vitisho vyao havikuweza kulazimisha kupendwa isipokuwa unafiki kama wako mtoa mada. Hamtafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ukiwa CCM pia unakuwa na roho flani hivi ya kichawi chawi au kishetani shetani.

Kukosoa na mtu kupewa kesi ya Uhujumi Uchumi huoni mbingu na ardhi?

Unafikiri hao wanaotoa kesi wataendelea kutoa milele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea utoto gani? Naona unajaribu kupandikiza uoga. Kama huna hoja sio lazima ianzishe uzi.

Unasema watu wakosoe kwa staha na maoni yao yatafanyiwa kazi.

Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inadaiwa zaidi ya miaka 20 na bado hazipatikana, je ni busara gani mnahitaji zaidi ya uvumilivu wote huo?
Kwani ni Nani aliyekwamisha mchakato wa katiba mpya?
 
Kwani hao wanaodai mishahara ipandishwe kwa mujibu wa sheria wameandamana? Kuandamana ni moja ya mbinu ya kupata kitu unachodai, lakini sio njia pekee.
Nyie bavicha mna njia gani zaidi ya kuandamana na kulialia humu jf?? Mnaipata lini sasa?
Uzuri jamaa anawakanyaga kweli, hadi raha! Ukitaka kuamini weka ID yako ya kweli uone unavyokanyagwa fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makaburu walikuwa na maguvu na walitisha kuliko nyie.Hata Baadhi ya familia ya Nelson Mandela waliyokuwa waoga waligwaya na kumruka mchana kweupe. Kwa vile walikuwa wa shetani mwisho wao pamoja na misuli yao walifika mwisho. Vitisho vyao havikuweza kulazimisha kupendwa isipokuwa unafiki kama wako mtoa mada. Hamtafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno ya kijinga kutoka kwa wajinga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie bavicha mna njia gani zaidi ya kuandamana na kulialia humu jf?? Mnaipata lini sasa?
Uzuri jamaa anawakanyaga kweli, hadi raha! Ukitaka kuamini weka ID yako ya kweli uone unavyokanyagwa fasta

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi mbinu hii ya fake id naona inanilipa maana ujumbe wangu unafika, hao wanaokereka watumie mbinu yao kunikanyaga.
 
Makaburu walikuwa na maguvu na walitisha kuliko nyie.Hata Baadhi ya familia ya Nelson Mandela waliyokuwa waoga waligwaya na kumruka mchana kweupe. Kwa vile walikuwa wa shetani mwisho wao pamoja na misuli yao walifika mwisho. Vitisho vyao havikuweza kulazimisha kupendwa isipokuwa unafiki kama wako mtoa mada. Hamtafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu naona unakariri, nani alimwondoa Kaburu?
 
Back
Top Bottom