CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,027
- 41,112
Ndiyo salama yake vinginevyo angekuwa amelambishwa udongo kitambo tu.Kinachokusevu wewe ni kuwaa kama panya, unauma na kupuliza.
Vv
Ndiyo salama yake vinginevyo angekuwa amelambishwa udongo kitambo tu.Kinachokusevu wewe ni kuwaa kama panya, unauma na kupuliza.
Vv
Ni huyu jamaa yule aliyekuwa mtangazaji wa star tvBaada ya kelele za wadau hatimaye Alloyce Nyanda ameachiwa akiwa hai
Ikumbukwe kwamba Nyanda mtu mwenye Kula ugali n.a. Sangara mkavu alituhumiwa kufadhili vikundi vya mitandaoni, Tukashangaa Nyanda huyu anayevaa Skuna Leo Ana hela za kufadhili vikundi!
Hata hivyo simu zake zinashikiliwa ikiwemo ile ya tochi ya Tecno
Asante Mungu
Ww na waandishi wenzako mlikaa kimya wakati Nyanda amekamatwa. Ww Paskali na ulivyokuwa unaitumia Star TV, ni WA kukaa kimya mtu kama Nyanda akiwa amekamatwa?Thanks for this, this is very good news!.
P
Ni kichefuchefu yeah lakini pia ni uchwara vilevile.Juzi madam ritha katamka kuwa tuna media uchwara watu wakamsakama Hadi uongozi ukatoa karipio ila mwenzao kachikuliwa kwenye mazingira tatanishi media zote zimeufyata zinajadiri porojo na ujinga ujinga
Itoshe kusema kuwa midia za bongo n kichefuchefu
Kabisa... Huko tuendako kila Mtanganyika atakuwa na kamlipuko kake mfukoni!Hee kumbe hujui magaidi yanavyofanya yanajifanya maskini kumbe ndio yanashika kibubu.
Norma sanaWw na waandishi wenzako mlikaa kimya wakati Nyanda amekamatwa. Ww Paskali na ulivyokuwa unaitumia Star TV, ni WA kukaa kimya mtu kama Nyanda akiwa amekamatwa?
Tuhuma zake ndio kichekeshoNgoja niku- challenge
Unaamini kelele ndizo zimesaidia kwa kiwango kikubwa.
Inakuwaje kelele hizohizo zimeshindwa kusaidia kupatikana kwa wengine kama Mdude na wengine?
HayaWangetaka kummaliza wangefanya hivyo, SIAMINI KAMA KELELE NDIO ZIMESAIDIA
Bahati nzuri ni kwamba 'promo' ya TFF imekwisha timizwa.Baada ya kelele za wadau hatimaye Alloyce Nyanda ameachiwa akiwa hai
Ikumbukwe kwamba Nyanda mtu mwenye Kula ugali n.a. Sangara mkavu alituhumiwa kufadhili vikundi vya mitandaoni, Tukashangaa Nyanda huyu anayevaa Skuna Leo Ana hela za kufadhili vikundi!
Hata hivyo simu zake zinashikiliwa ikiwemo ile ya tochi ya Tecno
Asante Mungu
Halafu nayeye anajiweka kwenye la kuelimisha watanzania wakati hawezi kuwatetea wenzake.Ww na waandishi wenzako mlikaa kimya wakati Nyanda amekamatwa. Ww Paskali na ulivyokuwa unaitumia Star TV, ni WA kukaa kimya mtu kama Nyanda akiwa amekamatwa?
Tuhuma zake ndio kichekesho
Kufadhili kundi la mtandaoni linaloitwa TFFAnatuhumiwa na nini?
Kwani alitekwa au alikamatwa kawaidaBaada ya kelele za wadau hatimaye Alloyce Nyanda ameachiwa akiwa hai
Ikumbukwe kwamba Nyanda mtu mwenye Kula ugali n.a. Sangara mkavu alituhumiwa kufadhili vikundi vya mitandaoni, Tukashangaa Nyanda huyu anayevaa Skuna Leo Ana hela za kufadhili vikundi!
Hata hivyo simu zake zinashikiliwa ikiwemo ile ya tochi ya Tecno
Asante Mungu
Hakuna tofautiKwani alitekwa au alikamatwa kawaida
Pole na Hongera kwake