Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,374
- 37,196
Unataka kusemaje?š
Wana vichwa vyepesi vya ubunifu.Nimewahi kuuliza iweje hawa wamba wanatuzidi kiuchumi na wanamiliki viwanda vya kufa mtu, na nyuklia na dhana za kisasa za kivita?
Sio jibu Hilo jibu ni kuwa Sheria na kanuni za kila TAIFA zimetofautiana mfano Tz ukikutwa na Gobore ni kesi au silaha yeyote mpaka upimwe akili na kamati ya ulinzi na Usalama ya wilaya ilizie upewe silaha + mali unayomiliki izidi MILION 32Wana vichwa vyepesi vya ubunifu.
Kule vitu kama bunduki mfano wa SMG zinatengenezwa mitaani majumbani na kila mtu ana silaha yake nyumbani hadi watoto wadogo wa miaka 10 na wenyewe wanamiliki silaha.
Hata kwenye sherehe kama za harusi utakuta wote wameshika silaha wanapiga risasi juu.
Hata kule sio kwamba serikali imeruhusu kumiliki silaha kienyeji ila ni vichwa ngumu tu,wanapeana kienyeji tu mitaani japo wapo pia wanaomiliki kihalali.Sio jibu Hilo jibu ni kuwa Sheria na kanuni za kila TAIFA zimetofautiana mfano Tz ukikutwa na Gobore ni kesi au silaha yeyote mpaka upimwe akili na kamati ya ulinzi na Usalama ya wilaya ilizie upewe silaha + mali unayomiliki izidi MILION 32