Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Wakati tunajadili hii nchi tuzingatie na economic datas.
Screenshot_20181115-222139_Chrome.jpeg
Screenshot_20181115-222019_Chrome.jpeg
 
adventurer hahitaji mwenyeji...ni kujua tu destination yako, historia na jografia ya eneo husika. mengine utayajua hukohuko mbele ya safari.

ukitaka mambo ya kupata mwenyeji utapoteza maana nzima ya kuwa adventurer.

BTW kwanini unatumia picha ya shikuba(ali khatib haji) kwenye profile yako?... is he your role model/sponsor?
It's some sort of private information,njoo PM
 
mleta mada hongera kwa kufika pakistan.

mimi nina ndoto za kuwa adventurer na moja ya malengo yangu ni kutembelea mataifa ambayo si rafiki kiusalama kama syria, north korea, somalia, afghanistan, yemen, libya, central african republic nk.
Unaweza kushikwa huko wakidhani ni jasusi na hv ni MTU mweusi utachinjwa haraka sana...nakupa tahadhari
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Kwanza Pakistan wala siyo waarabu,wewe muongo,labda upo Kashozi.
Hata jiografia hujui.
 
Uliyoandika ndiyo yamekupeleka huko?
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..

MAMA NTILIE WAARABU ?? KWELI WEWE MUAFRICA MUONGO SANA NAONA HUJAFIKA PAKISTAN . PAKISTAN SIO NCHI YA WAARABU NA WALA HAWAISHI WAARABU NA WALA LUGHA HAWATUMII YA KIARABU NA PAKISTAN HAWAJUI KIARABU . PAKISTAN NI ASILI YA KIHINDI NA LUGHA YAO NI MOJA NA INDIA
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..

hawajakutingoza maana wanapenda ku.....ra naona wamekumaliza
 
Haelewi huyo Pakistan ya wahindi fulani hivi.Uchafu kwao ni kawaida.Waarabu wasafi kuliko hata mashoga wazungu
Hii mihemuko ya kijinga itawaua ninyi waarabu weusi,hivi umeambiwa wazungu ndo mashoga pekee,halafu tukienda na uhalisia hivi kuna ushoga mkubwa zaidi ya ulio Arabuni?.Kwa macho yangu nimeyashudia uchafu mkubwa Dubai,Ajman,Sharjah,Abu Dhabi,Al - Ain, Furjairah,Oman hadi Amman - (Yemen).Tuchangie mada nje ya mihemuko.
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..

Hongera mkuu.

Usisahau kutembelea Saidu Sharif ambao ni mji mkuu wa bonde la Swat ambalo lina mto Swat unaopita katikati..

Matunda ya apple na peach yanatoka hapo.

Kabila la watu wa hapo wanaitwa Pashtun ambalo ni moja ya makabila madogo lakini hili kabila ni maalum.
 
Hahaahha wapikistan kumbe ni waarabu?

Jiandae kusachiwa ukirudi maana huko ndio vinara wa unga
Huyu jamaa profile photo take kaweka ya Don Mohammed bin Khatibu haji alias Shukba. Amewasili Karachi shamba
Ndugu utakuwa umefuata " musharaf" aka kazi Kama vipi idondoshe Jozah upate fedha.
Hi I rest naye mlikuwa mnambebesha Nini mzigo??
 
Hii mihemuko ya kijinga itawaua ninyi waarabu weusi,hivi umeambiwa wazungu ndo mashoga pekee,halafu tukienda na uhalisia hivi kuna ushoga mkubwa zaidi ya ulio Arabuni?.Kwa macho yangu nimeyashudia uchafu mkubwa Dubai,Ajman,Sharjah,Abu Dhabi,Al - Ain, Furjairah,Oman hadi Amman - (Yemen).Tuchangie mada nje ya mihemuko.
Waislamu wanatoa mapovu kweli hizi dini ni utumwa wa kifikra
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom