Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

mleta mada hongera kwa kufika pakistan.

mimi nina ndoto za kuwa adventurer na moja ya malengo yangu ni kutembelea mataifa ambayo si rafiki kiusalama kama syria, north korea, somalia, afghanistan, yemen, libya, central african republic nk.
Vizuri,Cha muhimu uwe na mwenyeji
 
Najua huna hela maana hujawai kunipa.
Mimi ndo nitakutafuta siku hizi napiga michakato ya hela mjini hapa? By next year June nitakuoa wewe kibenten
Sawa, mtoto wako akishakua anaefuata naomba niweke mimi please!
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Halafu huko si kwa waarabu umechanganya madawa kiongozi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom