Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

MAMA NTILIE WAARABU ?? KWELI WEWE MUAFRICA MUONGO SANA NAONA HUJAFIKA PAKISTAN . PAKISTAN SIO NCHI YA WAARABU NA WALA HAWAISHI WAARABU NA WALA LUGHA HAWATUMII YA KIARABU NA PAKISTAN HAWAJUI KIARABU . PAKISTAN NI ASILI YA KIHINDI NA LUGHA YAO NI MOJA NA INDIA
Hahaaa!! Hasira za nini wewe mwarabu?? Hatupigani hapa
 
Hiyo Avatar uliyoweka na huko uliko unanitia mashaka ndugu yangu, anyway wasalimie Peshawar na Lahore..
 
Hii mihemuko ya kijinga itawaua ninyi waarabu weusi,hivi umeambiwa wazungu ndo mashoga pekee,halafu tukienda na uhalisia hivi kuna ushoga mkubwa zaidi ya ulio Arabuni?.Kwa macho yangu nimeyashudia uchafu mkubwa Dubai,Ajman,Sharjah,Abu Dhabi,Al - Ain, Furjairah,Oman hadi Amman - (Yemen).Tuchangie mada nje ya mihemuko.

Mimi pia sikutegemea kama waarabu ni mashoga vile na wanasagana hatari na wanatembea na ndugu xao kama kawa.. tena hao ndo wanaongoxa kwa hixo kitu..
Nilishihudia nilipokuwa Sharjah na Muscat pia sikutegemea kabisaaaaaa.
 
Mimi nakupa hongera kwa kubadili hali ya hewa na kutembea pia nje ya Tanzania..pia usijali mihemko ya jf ni kawaida sana watu utaona wanajidai kujua mahali kumbe wamekaa na world map na kukutajia miji hadi mitaaa utassema washafika kumbe hata ndege hawajawahi panda zaidi ya kuiona angani tu.
Pambama ndugu yangu kilichokupeleka ufanikishe na urudi salama tu...
Kila la kheri🙏
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Niulizie chenji ya huko ikoje kwa sh. Ya TZ
 
Mimi pia sikutegemea kama waarabu ni mashoga vile na wanasagana hatari na wanatembea na ndugu xao kama kawa.. tena hao ndo wanaongoxa kwa hixo kitu..
Nilishihudia nilipokuwa Sharjah na Muscat pia sikutegemea kabisaaaaaa.
Mkuu unajua kuna people humu zinapiga kelele kutetea Uarabuni na Waarabu hata hazijawahi kufika zaidi ya kusoma kwenye hivyo vitabu vinavyo i - exaggerate utadhani ni Paradise,kumbe hovyo kabisa,Sharjah al Jubail(Bus station vyoo hovyo kabisa),njoo Al Majaz,Al Wahid,Industrial Areas 1 - 15, kote hovyo.Ajman ndo usiseme penye unafuu kidogo ni kule Free zone(port) na Al Madina.
 
Umenikumbusha uwiiiii sharjah nilishindwa kujisaidia niliishia mlangoni.. pia wajue tukisema waarabu ile usafi wao ni usoni tu huweza kujipodoa ila ndani huko hujipuliza maraashi, bughuri na kusepa wako ovyoooooo

Back
Top Bottom