Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Vizuri,Cha muhimu uwe na mwenyeji
adventurer hahitaji mwenyeji...ni kujua tu destination yako, historia na jografia ya eneo husika. mengine utayajua hukohuko mbele ya safari.

ukitaka mambo ya kupata mwenyeji utapoteza maana nzima ya kuwa adventurer.

BTW kwanini unatumia picha ya shikuba(ali khatib haji) kwenye profile yako?... is he your role model/sponsor?
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..

Sio waarabu hao au umekosea uko yemen
 
Mtu yuko zake uswekeni maramba mawili kwenye chumba Chenye joto kajilaza baada ya kushiba Dona na dagaa wa Mwanza huku akipigwa upepo na feni la Dolphin kutoka China , anawadanganyeni kuwa Yuko Pakistan.

'';;!!
Inaonekana wewe hujawahi kwenda nje ya Tanzania, Pakistan mbona nchi ya kawaida sana
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Koro Show.... kwanza....huko hakuna tofauti na Chato....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom