Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Sawa mkuu, ila tahadhari, ukianza kurudi kuwa makini sana , unaweza bebeshwa 'NGADA'
 
Pakistan siyo waarabu. Wana asili ya wahindi.
 
Hili kabila linasemwa kwamba lina asili ya wayahudi.

Wana sheria kali sana kwamba utaitwa m-pashtun pale tu baba yako akiwa ametokea kwenye kabila hilo na si vinginevyo.

Ni kabila linalopendwa sana na mataifa makubwa khasa Marekani.
Vipi kama mama yako ndio mtu wa huko??
 
mleta mada hongera kwa kufika pakistan.

mimi nina ndoto za kuwa adventurer na moja ya malengo yangu ni kutembelea mataifa ambayo si rafiki kiusalama kama syria, north korea, somalia, afghanistan, yemen, libya, central african republic nk.
Upo kama mm nataman sana kutembelea Afghanistan hasa ktk miji ya Kandahar, gelalabad ,dawlatabad na Harait,.
 
NIKIFIKA...
1. Morocco pale kwenye traffic light nitapiga picha uelekeo wa kuja Victoria.


2. Red Cross uelekeo wa traffic light za kwenda posta, nitapiga picha.

3. Kwenye boat za kwenda Zenji ikiwa inageuka nitapiga picha usawa wa majengo mapya ya TPA

4. Nitapiga picha nikitokea Ocean road jirani na hospital ya Agha Khan uelekeo wa Salender bridge

5. Mnazi mmoja pale kituo cha zamani za dala dala Rems kabla ya mataa nitapiga picha uelekeo wa jengo kwa Ushirika

6. Nasogea kama usawa wa shoplite zamani, napiga picha uelekeo wa mpingo house.

7. Nazunguka natokea RTD jengo jipya kabla ya mfugale bridge napiga picha

8. Natoka nje ya mji naelekea Kigamboni nautafuta mji flani hivi upo usawa wa bahari naomba kupiga picha majengo yaliyo pembezoni mwa bahari picha moja tu...

9. ...

10. ...

Baadae naanzisha uzi hapa kuwa "HILI NDILO JIJI SAFI KULIKO YOTE EAST AND CENTRAL AFRICA"

nb. Uchomoki.
Ravalomanana
 
Lakini ukisachi kwenye mitandao mji wa Islamabad unasifiwa kuwa uko planned na unavutia, ila dar yetu sijaona kwenye tovuti ukisifiwa na wageni ni sisi wenyeji ndio tunasifia
 
Dar haina mazingira Kama haya, dar inamajengo ya kisasa lakini mazingira bado
 
Hili kabila linasemwa kwamba lina asili ya wayahudi.

Wana sheria kali sana kwamba utaitwa m-pashtun pale tu baba yako akiwa ametokea kwenye kabila hilo na si vinginevyo.

Ni kabila linalopendwa sana na mataifa makubwa khasa Marekani.
Kwasababu gani wanapendwa?
 
Lakini ukisachi kwenye mitandao mji wa Islamabad unasifiwa kuwa uko planned na unavutia, ila dar yetu sijaona kwenye tovuti ukisifiwa na wageni ni sisi wenyeji ndio tunasifia
Unasema uki..search

SASA UMESHAFANYA HIYO SEARCHING KWA JIJI LA DAR KAMA LINASIFIWA AU..?
Dar haina mazingira Kama haya, dar inamajengo ya kisasa lakini mazingira bado
MAMBO YA MAZINGIRA MAZURI HAINA TIJA SANA KWA PICHA.

KAMA UNATAKA PICHA NZURI WATAALAM WAPO INAPIGWA PICHA UKIONYESHWA UNASEMA "SIYO BONGO HII"

NA NDIYO MAANA NOW DAYS UNAMTONGOZA MREMBO KWA KUMUONA KWENYE MTANDAO AKIWA "kigori/mrembo" ILA UKIJA KUMUONA LIVE UNACHANJA MBUGA, 😔!
 
Pakistan jamii ya maponjolo or mithun chakarabot
 
Wapakistani ni kama wahindi tu
 
Akituma unitag
Maana pakstan hiyo picha anapigwa na nani maana jamaa ni makatiri sana unaweza kuomba kupgwa picha akakupga risasi
Hebu kwa serious mkuu!! Tafuta hata kabango kameandikwa kiarabu/kihindi upige nako picha angalau uongo wako wachache wauamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…