Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,361
- 6,892
Kama cha Wonder WomanSipati picha hicho kipigo.
Kama cha Wonder WomanSipati picha hicho kipigo.
Napiga zote 😅 nyingine za kukufunza adabu na nyingine za kukupoza machungu!We mshangazi kwenye kupiga unatumia style Gani Tai chi Kung Fu au Doggystyle
Jamaa litakuwa bwabwaMwanaume unaleta uzi wakupigwa kweli?? bila shaka wewe utakuwa made in Tanga au Dar es salaam kanda y ziwa hakunaga mabwege
Dating older women is fun until you realize why they are single at their age.Wakuu, mshangazi wangu alifuma sms za pisi nyingine whatsapp, amenipa kichapo heavy yaani nyie acheni tuu