Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
Kutembeza nyanyaVijana mnajitahidi kukwepa kilimo
Kutembeza nyanyaVijana mnajitahidi kukwepa kilimo
Hawataki kabisa yaaniKutembeza nyanya
Ukisema unaumwa unanyonyeshwaAaaaah kubabeki 😂 😂 😂 😂 haiji tokea kabisa.... Hata aweje aiseee unajua mi nadeka kwa hawa watu... Nikisema naumwa tuu
Kuna watu hawapendi.kuvuja jasho ..Hawataki kabisa yaani
Ameleta mrejesho kasema mshangazi umemuomba msamaha umemletea na zawadi, na leo umemuahidi mizagamuano hapo kafurahi😂😂😂Kuna watu hawapendi.kuvuja jasho ..
Heli yangu mimi nipo.nao ila nakumbuka kufanya kazi za kuvuja jasho
Ahahahaha yaan acha kabisa mi nainjoi sema ni vile sijatulia tuuu aiseee ila nikitulia aaaah mbona ntafaidi mengi...Ukisema unaumwa unanyonyeshwa
😂😂😂😂😂😂😋😋😋😋 Bado mimi tuu nije kuombewa hapaAmeleta mrejesho kasema mshangazi umemuomba msamaha umemletea na zawadi, na leo umemuahidi mizagamuano hapo kafurahi😂😂😂
Na raha ya mshangazi uwe na ukimwi au sioAhahahaha yaan acha kabisa mi nainjoi sema ni vile sijatulia tuuu aiseee ila nikitulia aaaah mbona ntafaidi mengi...
We mchawi et....Na raha ya mshangazi uwe na ukimwi au sio
Utaombewa ndotoni😂😂😂😂😂😂😋😋😋😋 Bado mimi tuu nije kuombewa hapa
Hata ndotoni mi nipo tayari..Utaombewa ndotoni
Jifanye damu kali, trump kachomoa battery hukoWe mchawi et....
🥺🥺🥺🥺 Tunapima hapa atake asitake an
Sema na mimi damu yangu kali kwa sasa an kupata Hayo.madude hapana kabisa an
MOD NIPIGE BAN ~ nimeingia Kwenye Mambo ya Usalama wa TaifaTuone izo sms
😂😂😂loh! Hatari sanaHata ndotoni mi nipo tayari..
Najua itakua usiku wa manane.mda ambao huyo muombaji na muombewa watakua wanaombeana taratibuuuu
Aya nitumieIt is for private consumption.
Mmmmh unanitisha... Kwahyo nighailishe au maana sa mbili na nusu nina kipindi kabambeJifanye damu kali, trump kachomoa battery huko
Ni kweli utakuja kwa dream😂😂😂loh! Hatari sana