mshangazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Mshangazi wa taifa Janepher Sanga katoa onyo kali hajiuzi yeye ni content creator tu

    Mshangazi wa taifa Janepher Sanga mwenye views na followers zaidi ya million 8 kwenye mitandao ya kijamii, katoa onyo kwa ukali kwa madalali wa wanawake ambao wana posti namba zake kwenye page zao yeye hajiuzi. Kitendo hicho kimemuudhi sana mshangazi huyo nakuendelea kusema yeye ni content...
  2. FourTwoNet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi ntapata mshangazi wa kizungu?

    Asee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!! Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi. Au niingie mtandao gani nijiachie humo.
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Shehe Adai Muhammad Alifanya kazi kwa Mshangazi

  4. Stability

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni mawazo, mshangazi kani surprise geto alafu age mate wangu nae tuna mihadi na yuko nje na boda boda ila nyumba nayoishi ameisahau

    Nimwambiaje sasa , chap jaman
  5. Stability

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ila wakuu penzi la mshangazi ni noumaaa! Wiki nzima sijarudi geto kupiga usafi

    👶🏻🍼
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepigwa na mshangazi wangu

    Wakuu, mshangazi wangu alifuma sms za pisi nyingine whatsapp, amenipa kichapo heavy yaani nyie acheni tuu
  7. 888I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mshangazi ama Mshangazi hamumtaki Kijana wa Kimasai?

    Kwani Mshangazi una sifa Zipi ? Jamii ya leo inazidi kushuhudia mahusiano yasiyo ya kawaida: vijana wa kiume wakiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake wakubwa kiumri — mara nyingi wakiwa sawa na mama au shangazi zao. Wengine huita "sugar love", wengine wanaita "upendo wa kipekee". Lakini...
  8. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Wanameke miaka 18-24 ndio hao ndio bonge la dada zaidi ya hapo we ni mshangazi

    Wanameke miaka 18-24 ndio hao ndio bonge la dada zaidi ya hapo we ni mshangazi Nadhani imeeleweka,msitusumbue huku mtaani.
  9. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ila JF huwa kuna vituko sana, eti mtu wa miaka 35 anamuita demu wake wa miaka 39 eti mshangazi

    Hii nchi ina vituko na JF ndio studio yake🤣 Ni basi tu tunawaponda dada zetu walio 30+ ila Kijana wa kiume ukishafikisha 30+ wewe nae ni "LIJOMBA" hadhi ile ile ya lishangazi. Siku hizi wadada hawazeeki, kuna vipi vipi siku hizi, kuna serum za kuondoa makunyazi, etc
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

    Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19 Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa...
  11. Dr leader

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hizo story za mishangazi zipo kweli?

    Hivi hizo story za mishangazi zipo kweli au ni simulizi za kahawa na bar vaada ya kilevi Hebu tupe uzoefu wa mshangazi na ulipata vipi Lete ushuhuda uliwahi pata mpenzi wa kweli hapa Jf
  12. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

    Wakuu, Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi. Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia. Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5%...
  13. Braza Kede

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mshangazi basi ujue unasakwa kwa penzi matata

    Uwe mshangazi halisi sio wa kuchovya Uwe unajimudu mwenyewe na usiwe mtu wa nyeenyee sio kila siku wewe ni mtu wa kujiliza tu mara niongezee vocha mara gesi imeisha mara nchangie mjombaangu kafa kumbe mjomba ni mzima anadunda zake. Mengine tutachat bdae
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshangazi njoo hapa

    Mimi ni kijana in early 30s, financially doing fine . Fantasy yangu ni kuwa in sexual entanglement na mshangazi( age 34- 54). No relationship only to fullfil each other’s sexual needs . Sihitaji kabisa pesa zake and I won’t be providing any financial assistance, just vibes and sex. Nahitaji wale...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mshangazi wa Ilala alivyowasambaratisha kwa ugonjwa hatari wanamuziki wabendi kubwa nchini

    Kuna bendi moja kongwe ya muziki wa dansi, sitaitaja jina. Wanamuziki wake walipukutika kama Uyoga ndani ya miongo miwili ni kama walikwisha. Unajua sababu? Jimama la Kimanyema mixer Kiarabu shombeshombe, mshangazi white mkazi wa Ilala Sharifu Shamba ni kama alitumwa, aliwagawia dozi mmoja...
  16. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka jana niliponea chupuchupu kuupata Ukimwi, ila mwaka huu nimeangukia kwa Penzi la Mshangazi, nifanyaje kuoa

    Wadau, Napenda kupata tu ushauri, ninachotaka kufanya sifanyi na ninachofanya sio ninachotaka kufanya.. ... Nisikuchoshe ni hivi, mwaka jana nilishawahi kulala na mwanachuo fulani kumbe ni muathirika na baada ya kutumia PEP niliponea shimo la moto kwani mpaka wa leo mimi ni mzima wa...
  17. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mshangazi kupungua kilo 10 chap!

    Jana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet. BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight. Haya nishaurini nini cha kufanya...
  18. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri gani siyo poa kumzalisha mshangazi au jimama?

    Mishangazi na mijimama ina raha yake. Je, kuna umri siyo poa kupeana ujauzito? Kuna huyu kijana mcheza basketball ana miaka 22 ana uhusiano na amemzalisha mshangazi wa miaka 40. Vipi ingekutokea wewe, ungeelewekaje huko kwenu?
  19. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Huyu bata jike unamfananisha na mshangazi gani humu JF?

    Huyu bata pichani hapa chini anajifanya yeye ndo yeye kama baadhi mishangazi ijifanyavyo humu JF. Unadhani huyu bata anasadifu tabia ya mshangazi gani humu. Binafsi naona huyu bata kakopi na kupesti tabia za BRAZA CHOGO na BICHWA KOMWE - .
  20. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

    Eh, Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi, "Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please 🙏 " Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika Wewe...
Back
Top Bottom