Hatimaye nimempata!

Hatimaye nimempata!

Kelele nyingiii, serious rship hazielezewi Jf, hizi ni sehemu za mbwembwe na kujifariji baada ya kupigwa matukio ya kutosha.

Atakachofanya huyu ni akipigwa chini hutaona ushuhhda wake wa kupigwa chini.

Ila all in all kwetu wanaume wenye darubini kali mwanamke anae andika andika sana mitandaoni ni wale wasiofugika (much knows).
Pole sana mkuu, inaonekana ndo unanifahamu leo.. Pitia nyuzi zangu zote uone halafu fananisha na ulichokiandika😂😂
Umeongea kwa uchungu, halafu ukute ni mwanaume hovyoooo🙃🙃🤓😂🙌
 
Leejay49 hongera sana na ikawe heri mfikie malengo yenu wewe ni miongoni mwa wanawake naowakubaligi hapa jamvini huna baya na mtu.
 
Yaani nimewaza basi tu yani😂
Mwanaume akipewa penzi huhisi kupendwa zaidi. Ila mwanamke akihisi kupendwa zaidi ndipo hutoa penzi.

Mimi wangu nilimwambia na kumpa uhuru kwamba simuharakishi.

Akiridhika na mimi anipe tu. Ila kunipa au kunibania haina maana kwamba nitapunguza upendo, ila ajua kwamba na mimi ni muhitaji wa penzi lake.
 
Yeah ni kweli, hajawahi kuulizia hilo suala hata hivyo..but i will be there for him incase☺️☺️
 
Mwanaume akipewa penzi huhisi kupendwa zaidi. Ila mwanamke akihisi kupendwa zaidi ndipo hutoa penzi.

Mimi wangu nilimwambia na kumpa uhuru kwamba simuharakishi.

Akiridhika na mimi anipe tu. Ila kunipa au kunibania haina maana kwamba nitapunguza upendo, ila ajua kwamba na mimi ni muhitaji wa penzi lake.
Hivi huwaga mnatujaribu au😀😀
 
Back
Top Bottom