Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Pole sana umezidiwa kete😂Sini kama hiyo kuna wengine nikajua nipo peke yangu et🤣
Pole sana umezidiwa kete😂Sini kama hiyo kuna wengine nikajua nipo peke yangu et🤣
Hahahahaha sawa sawa siku ya mechi wanamuomba roho mtakatifu awaongozeItakua wako kwaresma, hawataki dhambi za reja reja
Kwaiyo mwenye kisu kala nyama🤣Pole sana umezidiwa kete😂
We hujawahi kupenda, hivi unajua mshawasha wa penzi jipya🤣🤣Ila bn mkidate fanyeni kimya kimya kulaneni kimya kimya ukimkinai au akakukinai achaneni kimya kimya, mkifungulia thread siku mkiachana inaanza kama utani unashangaaa Uzi unatrend tu gafla
Mchana kweupeeeKwaiyo mwenye kisu kala nyama🤣
A huge Amen to that Girlie..!!😍And stay blessed always big ciccy 💕❤
Leejay unalo lakutwambia apa maana umeweka hoja mezani wachangie au wadadavue penzi jipya🤣🤣We hujawahi kupenda, hivi unajua mshawasha wa penzi jipya🤣🤣
😂😂We hujawahi kupenda, hivi unajua mshawasha wa penzi jipya🤣🤣
Acha ukorofi rafiki 😂😂Hahahahaha sawa sawa siku ya mechi wanamuomba roho mtakatifu awaongoze
Aaaah weeeeh bado ana hasira uyu 🤣🤣Mchana kweupeee
Nilikua nataka kumuwekea bango kubwaaa kwenye geti la kuingilia Magufuli stand, Ni vile tu maokoto yalikosekana.😂😂
Penzi lako jipya lilikuwaje mrembo wangu..??
Mkono wa bwana🌝?Kwakweli,, yaani leo full kutabasamu☺️☺️
Kaperepere uyu jamaaaUmeamua hadi kumfungulia uzi, inaonekana mwamba anakujong’ota kisawa sawa hongera kwake.
😂😂😂Leejay unalo lakutwambia apa maana umeweka hoja mezani wachangie au wadadavue penzi jipya🤣🤣
Kwani yeye anasemaje labda😂😂😂
Tunafurahi nae