Usichelewe sana mama dickson, maana comments ni fupfupi na zimeokoa muda😜
Hahaaah nilishacomment huko juu
Hongera shost...ila hujasema km umempatia humu ili tuanze kuwa serious
walaqhi' tena...Ni shida tena kuharibu ni chap
Mkuu,una amini kua mapenzi yanaweza kuvurugika kisa yamewekwa hapa JF tena kwa kutumia fake ID?kwa akili hizi za kumpata mpenzi unakuja tangaza mitandaoni..
unahitaji kuhurumiwa tuu
...
muulize Nifah
Aliyamwaga yotee hapa
Haha..😊
Mimi sio Mtanzania...
Hata hivyo Leejay kaweka mambo hadharani ili tujadili Carleen
Mara paap cc watu8😁
Subiri utaanza kuona CC kama zile za kina mahondo
kuna muda ukitulia unaweza kuwa kiongozi wa malaika..!!Mkuu,una amini kua mapenzi yanaweza kuvurugika kisa yamewekwa hapa JF tena kwa kutumia fake ID?
Kumbuka ameweka uzi tu wala hajapost picha.
To yeye ananipa sana Raha na furaha ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mimi mbona nimetulia sana tu,kuna muda ukitulia unaweza kuwa kiongozi wa malaika..!!
Kwani bila kunanii unakufa ni maamuzi tu😁😁Mi nachangamsha genge tu, ndio umeona uje kunipiga fix kabisa 😂😂😂! Miaka miwili like serious au ulikuwa eda?
Mara paap cc watu8
Mimi mbona nimetulia sana tu,
kama huamini njoo PM ndio utaona utulivu wangu coz huko hakuna vurugu za watu.
Aseme mapema ili tukimuona kwenye pm zetu tumfukuzeHahaha inawezekana...
Panazibaga pale siku ya kuzabuliwa utakoma 😂Kwani bila kunanii unakufa ni maamuzi tu😁😁
Unaweza kununua harufu ya mishikaki bila mishikaki yenyewe?Kwani bila kunanii unakufa ni maamuzi tu😁😁