Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,744
Kuna mmoja namuona kaja hapa na ni mgonjwa wa ______ sijui kama alikumbuka kumeza dawa zake za kutuliza kichwa Leo asubuhi mkipata muda tumuombee pia 😂🤣😁😁😁
Usichelewe sana mama dickson, maana comments ni fupfupi na zimeokoa muda😜Na mie nasubiri nikitulia tu naanza kupitia moja baada ya nyingine
hali si shwari binti yanguInahuzunisha sana kipenz😒
Nafurahi kuona kua sasa umenielewa nilicho maanisha,Yes, mara kibao, hadi huwa njaa inaisha..!! what about it..?
😂🤣😁😁Yes, mara kibao, hadi huwa njaa inaisha..!! what about it..?
Tutakomaa hivyohivyo Daddyhali si shwari binti yangu
Ndani ya kufata neno mengine unaweza kubarikiwa nayo hukoHahahahaha..huko nafuata NENO tu ..
Ameishia kua mshauri tu kwa Leejay49Charles kilian ulikuwa wapi Kamanda wangu wakati hii Chombo inang’olewa jamani🤨
Ivo yaan🥴😘😘Tangazo litakuja muda wowote kuanzia sasa,
Hakikisha tu simu yako tu inakua na chaji muda wote.
Nimesha mjua....😜Kuna mmoja namuona kaja hapa na ni mgonjwa wa ______ sijui kama alikumbuka kumeza dawa zake za kutuliza kichwa Leo asubuhi mkipata muda tumuombee pia 😂🤣😁😁😁
🤣🤣🤣🤣Vina muda basii
Watu wanakimbia ndoa zao siku hizi, sijui kwanini!Marriage mkuu
🤣🤣🤣tatizo mnaoa mapema mno
Hahahahahaha hayo mengine hapana kwa sasaNdani ya kufata neno mengine unaweza kubarikiwa nayo huko
NakaziaKabisa 🤣😂😂🤣🤣😁😁 sema yasipo kuwa ya mkataba yatadumu
Kwa sababu ni dada yangu chukua hiyoooo Mkuu huyu ni dada yangu