Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,289
- 191,123
Single ni single tu huwezi kuwa happy bila company watu na hela zao wanaliaga kisa upweke. Usifanye masihara na kuwa single kudadadekiš! "Single but happy" ni kibwagizo cha kujifariji tu ila wengi wanaliliaga chooniNdio maana huwa siamini hizi slogan za "I'm single and happy"...utakuwa lonely tu hakuna kitu kigumu kama kuwa single.