Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,753
Na mie nasubiri nikitulia tu naanza kupitia moja baada ya nyingineNimesoma comments zooote hadi hapa...😊
Na mie nasubiri nikitulia tu naanza kupitia moja baada ya nyingineNimesoma comments zooote hadi hapa...😊
Umewahi kula chakula kisha ukawa hujakipenda ladha yake?tatizo linatoka wapi..? Nadhani ni makubaliano tu.. let them enjoy bhaana..!!
Abaabaabaabaa prakatatumba.Na ikawe heri kwenu. Mungu awajalie watoto wengi na wenye afya. Mtoto wenu wa kwanza akiwa wa kiume muiteni Prakatatumba abaabaabaa
😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜
Pole sana😅😅Hahahahaha ahsante...sinaga kabisa bahati na hayo mambo Rafiki
“Ndoa”Mi nitakuja kutangaza michango tu maana wapenz kupata si kazi ...kazi mume tena mume siyo bora umeolewa
Bora niendelee kua singo hadi namimi useme tumerudiana...🤗Umbeya umbeya tu na mwaka huu single ni wewe🤓
Hahahahaha..huko nafuata NENO tu ..Pole sana😅😅
Kanisani huko ukienda piga maombi ya kutosha, utapata tu mrembo wako soon.
Marriage mkuu“Ndoa”
Inahuzunisha sana kipenz😒michango mingi ya maoni inaonyesha usugu mkubwa wa watu kuachwa
Kabisa 🤣😂😂🤣🤣😁😁 sema yasipo kuwa ya mkataba yatadumuMchawi hapo ni "vina mida basi?"
😂😂😂
Tangazo litakuja muda wowote kuanzia sasa,The Icebreaker tunasubiri tangazo mkuu
Yes, mara kibao, hadi huwa njaa inaisha..!! what about it..?Umewahi kula chakula kisha ukawa hujakipenda ladha yake?