Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,733
Hakuna cha kuplay safe labda uamue kuwa mpiga nyeto ila as long as una mpenzi nae ana wapenzi..... Ni wetu sote.Play SaFe
Hakuna cha kuplay safe labda uamue kuwa mpiga nyeto ila as long as una mpenzi nae ana wapenzi..... Ni wetu sote.Play SaFe
😂😂😂😂 Ngoja niwaache mie niendelee na kumuomba namba mzee ya mbususuAchana na huyo muendesha Baiskeli,
Njoo kwangu utembelee Gari full kiyoyozi.
Wewe wakwako si leo dada ulimwambia uende na mabegi yako mkaishi kwenye nyumba ya urithi.😂😂 umewin
Sawa kama umeamua kupishana na gari la mishahara ni uamuzi wako,😂😂😂😂 Ngoja niwaache mie niendelee na kumuomba namba mzee ya mbususu
kama sio kitu unafanya mara kwa mara unaharibu misuli, itafika mda huezi kusimama kwa mda mrefu au itabidi utumie fimbo kusupportNext time nitaenda mara mbili yake.
Kumbe bado niko vizuri sana pumzi na energy ya kutosha.
View attachment 3607508
😂😂😂😂Sawa kama umeamua kupishana na gari la mishahara ni uamuzi wako,
Ila utanikumbuka.
Mbona pm aijakuta ata meswji yako moja...acha zako. Kumbe wengi mlidhani nimekufa eeehUmepotea sana mzabzab nlikumiss hadi kuna muda nikawazaga umevuta nini 🤔.
Naomba namba yako ukipotea tena niwe nakucheki, mi nakupendaga sijui kama unajua.
Kawaida sana tabora hiyo,kuna wale huenda kuvua samaki kwenye lile bwawa,hukaa masiku kisha hurudi na rundo la samaki wakiendesha baiskeli 150+kmKuna shemeji yangu amemuoa dada, enzi hizo 2008 kutoka goweko hadi nzega alikuwa anatumia masaa 10 akiwa amempandisha dada kwa baiskeli.
😅😅Naogopa kuendesha baiskeli nisije kutoa usichana wangu.
Sema mkuu,tulikuulizia sana humu,Mbona pm aijakuta ata meswji yako moja...acha zako. Kumbe wengi mlidhani nimekufa eeeh
Wasukuma na Baiskeli ni sawa na Mzaramu na ngoma za mtaani.Kawaida sana tabora hiyo,kuna wale huenda kuvua samaki kwenye lile bwawa,hukaa masiku kisha hurudi na rundo la samaki wakiendesha baiskeli 150+km
Tabora wanyamwezi japo wote ni walewaleWasukuma na Baiskeli ni sawa na Mzaramu na ngoma za mtaani.
Phoenix.
Walimu kazini lol 😆Phoenix.