Pamoja waku tupo pamojaSema mkuu,tulikuulizia sana humu,
Issue ya PM ni issue nyingine,
But we are happy u are back.
Mimi nimerekebisha ili akuelewe,Walimu kazini lol 😆
Mimi mwenyewe sikumbuki nahisi enzi hizo za hiyo baisikeli nilikua na 5yrs au 6yrsNdio ikoje io naomba picha tafadhali
😅😅😅 wewe utaacha lini ukorofi lakiniMimi nimerekebisha ili akuelewe,
Si umeona picha yake kapost huko juu?
huyu mwenzetu kumbe ni mzungu!
Mzungu wa AI😅😅😅 wewe utaacha lini ukorofi lakini
Kumbe jamaa ni mzungu
Ahaa sawa 🤣Mzungu wa AI
Naomba picha nione yanavyotetema😉hapa mapaja yanatetemeka tu nayamwagia maji baridi na ice kwa mbali😁
Nlikua naangalia last seen nkaona una zaidi ya mwaka nkajisema tayariiii gudubai 😂😂😂😂Mbona pm aijakuta ata meswji yako moja...acha zako. Kumbe wengi mlidhani nimekufa eeeh
Umbali wa kilometers ngapi huo?Kuna shemeji yangu amemuoa dada, enzi hizo 2008 kutoka goweko hadi nzega alikuwa anatumia masaa 10 akiwa amempandisha dada kwa baiskeli.
Nione aibu kuangalia mapaja ?Embu kwenda uko huoni aibu😁
Anaona aibu utaona paja la kiafrika wakati yeye kapost picha ya mzungu.Nione aibu kuangalia mapaja ?
Nioneshe nione kama nitaona aibu please
Nilijua wanaume hamuogopi🤣hakunaa
We jamaa una utani wa ngumiAnaona aibu utaona paja la kiafrika wakati yeye kapost picha ya mzungu.