Panga siku tukachezesheKawasaki ninja 400
Anashangaa kuona mzungu anakichapa Kiswahili chenyewe hasa!Kwann umeuliza?
Unanitamanisha ujue😅 sema kukutana na mtu wa JF ni kisanga sipendiHuo sehemu niliyokutajia ni special kwaajili ya kuendesha byke kwa mwendo kifo
Sawa Mzungu wa Mbarali Mbeya.Hahaha kiswahili kinanisumbua sana mkuu si unaona ata uandishi wangu ni hovyo😂
AI inasaidia kwa kiasi
Mi mwenyewe nasubiria jibu kwa hamu bro hebu ntoe kimuhemuhe ni wewe? 😁Unataka jibu gani?
Umepotea sana mzabzab nlikumiss hadi kuna muda nikawazaga umevuta nini 🤔.Hiyo pumzi mzeya mlelekee mrembo youngi apate raha
Issue sio kua mafwele ni kamdomo naogopa😅😅Njoo usalama ni wa kutosha mimi sio mafwale mkuu😂View attachment 3607535
Asipokupa namba yake naomba uniombe namba yangu mimi.Umepotea sana mzabzab nlikumiss hadi kuna muda nikawazaga umevuta nini 🤔.
Naomba namba yako ukipotea tena niwe nakucheki, mi nakupendaga sijui kama unajua.
Kwa niaba ya waliouliza na tuliokaa kimya....bro tunasubiri jibu lako kwa hamu 😁Kwann umeuliza?
😂😂😂 We haupotei wewe upo jana na leoAsipokupa namba yake naomba uniombe namba yangu mimi.