Hatimaye nime-ride baiskeli for 7hrs non stop

Hatimaye nime-ride baiskeli for 7hrs non stop

7hrs?
Mzee nitaamini nitakapokuona ujue masaa mengi sana hayo, hizo ni zaidi ya km 100-150 inategemea speed uliyoendesha.
Akili inagoma, kisha inakubali, kisha inagoma tena
masaa 7 labda kwa mwendo mdgo sana.
mim kwa kilomita90 natumia masaa ma4 na unusu had 5.

Na masaa 7 ukiwa na mda mrefu hutoboi kwa baiskel kuendesha mfululizo, njaa kali itakupga na mwili utakuwa mtamu na kuanza kutetemeka.
 
Back
Top Bottom