ukizoea baiskel mkuu kweny show na leo dada atakukimbia uwanjanAisee
Naona umefurahi, nisikukute tu pm
Hizo ni karibu km 150. Wananzengo wako fiti sana aiseeKuna shemeji yangu amemuoa dada, enzi hizo 2008 kutoka goweko hadi nzega alikuwa anatumia masaa 10 akiwa amempandisha dada kwa baiskeli.
Kama sio hilly terrain, wengi wanaweza!150kms
Niambie msichanaNaona umefurahi, nisikukute tu pm
Bange mbaya sana , Mimi nawezaje kukupangia jibu Jombis ? 😂Unataka jibu gani?
Nasubirinilikupa ahadi ntakuja tarehe 16 June au umesahau niwezi kucheza na hisia zako mama....
mpango wetu uko palepale
hahahaha ni siri tena? Haya mazoez memaacha kutoa code za Siri mkuu