Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,104
- 43,357
Unachanganya madawa hapa...
(1) Fedha ilichotwa kabla ya Mama Meghji kuingia pale Wizarani
(2) Barua ilikuwa kujibu audit querry iliyokuja baadaye.
(3) Mama Meghji alisema wazi kwamba baada ya kugundua Balali alimdanganya alicounter ile barua ya kwanza (audit ikiwa bado inaendelea)
(4) Balali hakujibu hoja ya yeye kudanganya...
So argument yako ya kusema barua ILIIDHINISHA malipo sio sahihi. Barua ILIJIBU audit querry.
Insurgent.. kichwa kitakuuma kuweza kuzungumza katika plain moja na ndugu yetu huyu. I gave up a while ago. tunaishi katika dunia mbili tofauti kabisa...