Hatimaye ni miaka 7 na miezi 3 bila mahusiano

Hauko peke yako hata mimi hapa nina mwezi mmoja sijagusa ndizi mbivu... yani nimeamua nikusubiri wewe hadi utakapoamua kufungulia ladies free niwahi siti namba 1 [emoji2088]
 
Wakuu!

Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano. Sidhani kama nitakuja kuwa sawa kwasababu lile pigo liliniathiri sana kisaikolojia.

Owa, achana na malaya. Owa wa std 7 or form4 hutajutia.
 
Toka nimezaliwa mpaka leo hii sijawahi kuwa na mahusiano, ila mbususu aina zote nazichakata kama kawa.

wanaojifanyaga wapo kwenye mahusiano wananipa, nawala kama natafuna kuku.

na wasio kwenye mahusiano wananipea nachakata kama kawa

wake za watu ndo usiseme wananigombania, na mimi huwa nawapelekea moto wa hatare

kuna mmoja alianambia mumewe anakibamia mwingine akanambia nayajua mapenzi.

ila sipo kwenye mahusiano.
 
Wakuu!

Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano. Sidhani kama nitakuja kuwa sawa kwasababu lile pigo liliniathiri sana kisaikolojia.

ILA, Mbususu natunukiwa na baadhi yao ambao wana hisia na mimi ila mimi sina hisia nao kabisa. So sometimes wapo watakao jaribu kunishawishi kwa kila namna ili nikunjue moyo, maana nimekunja haswaa! Ila bado sijaona wa kunishawishi kabisaaa kuanza mahusiano. Japokuwa mpaka sasa nina takribani mwaka na mwezi mmoja sijagusa mbususu ya mtu (nadhani hii ni kutokana na harakati za utafutaji).

Kwa hiyo unajiona mjanja mwenyewe! zikipita siku mbili tatu, unapiga zako puli! Baada ya hapo unakuwa mwepesi! Maisha yanaendelea! Huku jeuri na dharau vikitawala kweli kweli ukiwaona WENYE NCHI!

Shauri yako.
Baada ya miaka kadhaa ijayo, utajikuta huna hata uwezo wa kusimamisha mlingoti kwa muda mrefu. Puli siyo kitu cha kujivunia hata kidogo.
 
Sasa blaza ujio wako ulikuwa wa kiwaki so nilikuwa sina namna zaidi ya kukufyekelea mbali.

Umesema kama mbwai mbwai sio!sasa msimamo nauongeza mara dufu Blaza kama hao wachumba wanataka mwanamke legelege fresh tu bora nibaki singo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Unaakili mbaya sana KENZY 😆😆😆
Fanya ile kitu alasivyo kitaumana ujue we niletee ufupi wako Sasa nitakukarabati nakupa last chance..😎
 
Hauko peke yako hata mimi hapa nina mwezi mmoja sijagusa ndizi mbivu... yani nimeamua nikusubiri wewe hadi utakapoamua kufungulia ladies free niwahi siti namba 1 [emoji2088]
Yaani mwezi mmoja tu ?? [emoji16]
 
Japokuwa mpaka sasa nina takribani mwaka na mwezi mmoja sijagusa mbususu ya mtu (nadhani hii ni kutokana na harakati za utafutaji).

Huo utafutaji n wa pesa au kitu gani mkuu[emoji23][emoji23]
 
Hauko peke yako hata mimi hapa nina mwezi mmoja sijagusa ndizi mbivu... yani nimeamua nikusubiri wewe hadi utakapoamua kufungulia ladies free niwahi siti namba 1 [emoji2088]
njoo nikupe ndizi orijinal kubwa ya moto bila ganda ule ushibe.
 
Mimi mahusiano ya mwisho yaliyodumu kwa miaka 2 ni miaka 6 iliyopita [emoji2]

Hapo kati ni in and out mwezi chali, wiki 2 mbili chali.

Sababu hasa ni vipaumbele mahusiano niliyatoa katika vipaumbeoe vyangu coz niliona yananikwamisha tu na kunitia gharama zisizo na lazima wakati napambana kujenga msingi wa uchumi wangu i had to sacrifice it

Ila mbususu nakula siachi[emoji2]
 
Wakuu!

Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano. Sidhani kama nitakuja kuwa sawa kwasababu lile pigo liliniathiri sana kisaikolojia.

ILA, Mbususu natunukiwa na baadhi yao ambao wana hisia na mimi ila mimi sina hisia nao kabisa. So sometimes wapo watakao jaribu kunishawishi kwa kila namna ili nikunjue moyo, maana nimekunja haswaa! Ila bado sijaona wa kunishawishi kabisaaa kuanza mahusiano. Japokuwa mpaka sasa nina takribani mwaka na mwezi mmoja sijagusa mbususu ya mtu (nadhani hii ni kutokana na harakati za utafutaji).

LATA MANGSHIKAR Ndiyo Nadhani Ana Record Zako
Mnatofautiana Kidogo Huyo Muimbaji Wa Kuch Kuch Hotahe
Amezaliwa Mpaka Anakufa Hajaguswa Na Hakuacha Mtoto

Japo Ana Heshma Kubwa Huko India
Wengine Condoleezza Rice Wa US
 
Back
Top Bottom