Hatimaye ni miaka 7 na miezi 3 bila mahusiano

Wakuu!

Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano. Sidhani kama nitakuja kuwa sawa kwasababu lile pigo liliniathiri sana kisaikolojia.

ILA, Mbususu natunukiwa na baadhi yao ambao wana hisia na mimi ila mimi sina hisia nao kabisa. So sometimes wapo watakao jaribu kunishawishi kwa kila namna ili nikunjue moyo, maana nimekunja haswaa! Ila bado sijaona wa kunishawishi kabisaaa kuanza mahusiano. Japokuwa mpaka sasa nina takribani mwaka na mwezi mmoja sijagusa mbususu ya mtu (nadhani hii ni kutokana na harakati za utafutaji).

Hongera sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Lols ukute ndizi kisukari halafu imeorojeka
Me naaminia ndizi ya makaveli10 tu
ni ndizi mshale zile nene ndefu zilizo simama wima na kukaza kama muhogo, ya motoooo. Unapimiwa na kujipimia mwenyewe unashiba

mpaka utataja list ya majina ya wapenzio wote ikiwemo la makaveli10 na kuwaita vibamia.
 
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23]makaveli10
 
Mahusiano yapi unayozungumzia?????

Na unadai wapo wanaokupenda na unawapelekea moto kama kawaida.
 
Wakuu!

Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano. Sidhani kama nitakuja kuwa sawa kwasababu lile pigo liliniathiri sana kisaikolojia.

Ila, Mbususu natunukiwa na baadhi yao ambao wana hisia na mimi ila mimi sina hisia nao kabisa. So sometimes wapo watakao jaribu kunishawishi kwa kila namna ili nikunjue moyo, maana nimekunja haswaa! Ila bado sijaona wa kunishawishi kabisaaa kuanza mahusiano. Japokuwa mpaka sasa nina takribani mwaka na mwezi mmoja sijagusa mbususu ya mtu (nadhani hii ni kutokana na harakati za utafutaji).

Bora ujinyoge tu Kama miaka Sana Bado unaugulia maumivu.

Sijui hata unahangaikia Nini? maana "everything is fair in love and war"
 
Yaani unaacha kuwa na mahusiano eti kuna mtu aliku-disappoint?

Anyway, hata nami nina 7 years now lakini sio kwa sababu eti kuna mtu alini-disappoint bali kila siku na-feel nipo 100% FREE nikiwa single kuliko nikiwa kwenye mahusiano!!

Huwa sipendi bughudha kabisa kwenye mfumo wangu wa maisha...

Halafu tena hawa mademu sijui wapoje...

Juzi nimekutana nao wawili, na wote wameomba pesa just within 24 hours... wote nishawa-block!!

Leo nikiwa sehemu yangu ninayogangia njaa nikakutana na kademu kamoja! Nimefika home, nikaona ngoja nimcheki nae tayari keshaomba eti pesa ya salon...

Kabla sijalala na yeye nam-block kisha narejea tena na utaratibu wangu wa kukaa mbali na hawa viumbe!

Very stupid.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee ukisema utafute asieomba helaaa mbona utaishia kupiga nyeto mkuu
 
Acha ujinga, [emoji16][emoji16]

Ishi maisha yako , furahia dunia acha kuwaza waza ujinga kuhusu huyo aliye kucheat, Alisha kucheat ndio , so Nini kilichobadilika toka kwako ,!? Umekufa,!? Au ulipoteza kiungo kimoja wapo ktk mwili !? , It doesn't matter ulipitia mapito gani maisha yanapaswa kuendelea, usisite kuwa in serious relationship eti kisa uliumizwa wakati huo huo mwenzako aliye kuumiza anaendelea kuishi Maisha yake huko
Ndiyo Dr Love naona unatoa materials ya mwanzo kabisa wa kozi
 
Kuna nyimbo moja AY yupo inaitwa Toa hela
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee ukisema utafute asieomba helaaa mbona utaishia kupiga nyeto mkuu
Of course, wapo wachache sana wasioomba pesa, na kwangu wala sioni tatizo kuombwa pesa but ndo kwanza mmekutana... mme-chat hata message 10 hazijafika anaomba pesa?

Mam'ae, akafie mbele huko unless awe wazi from the beginning kwamba anauza!!
 
Mkuu utazeeka
Hakuna kitu muhimu kama mapenzi
Watalaamu wanashauri angalau kwa week ufanye mara2
Unanishangaza unaposema una mwaka hujaduu
Au Wewe Chaputa.

Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
 
Acha ujinga, [emoji16][emoji16]

Ishi maisha yako , furahia dunia acha kuwaza waza ujinga kuhusu huyo aliye kucheat, Alisha kucheat ndio , so Nini kilichobadilika toka kwako ,!? Umekufa,!? Au ulipoteza kiungo kimoja wapo ktk mwili !? , It doesn't matter ulipitia mapito gani maisha yanapaswa kuendelea, usisite kuwa in serious relationship eti kisa uliumizwa wakati huo huo mwenzako aliye kuumiza anaendelea kuishi Maisha yake huko

Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
 
Kuna nyimbo moja AY yupo inaitwa Toa hela
Hela kwa ajili ya kununua, ama?!

Sie wengine tupo tayari kuhonga lakini sio kununua manake wanaonunua ni mijihuni!!

Na kuhonga hufanyi hivyo ndani ya nusu saa tangu mkutane... hiyo ni biashara!!!
 
Back
Top Bottom