Hatimaye ni miaka 7 na miezi 3 bila mahusiano

Hatimaye ni miaka 7 na miezi 3 bila mahusiano

You are weak ..

Yani tukio moja tu linakufanya ukae 7 years outa relationship ? Je ukigongewa mke ? Itakuchukua mda gan tena kuoa ?aisee Nyie ndo mnao jinyongaga .. maisha nimafupi broh ..

Mungu kakupa viungo tofauti tofauti ili vikupe burudani imagine ata kukata gogo Kuna raha yake Even kuandika tu Kuna raha yake .. Sasa wewe ..basi tu niishie apo
 
Japo yeye kakuacha ila wewe hujaachana na aliyekupiga na kitu kizito ndo maana alilolitenda bado lina maamuzi katika mahusiano yako.

Where is your Pride?
Issue ni kwamba matokeo ya alichonifanyia ndio kimesababisha niishi hivi mpaks sasa,ila hilo bado halihalishi hoja yako ya kwamba sijaachana nae.

Kwani wewe ikitokea umekunywa pombe ukalewa chakali,kisha ukaanguka na kuumia,baadae ukaamua kuacha pombe. Je utakua hujaachana na Pombe eti kisa tu ina maamuzi katika maisha yako kwa wakati huo?
 
Vijana wenye mioyo ya kina angelo, watizama movie za kifilipino hawawezi kukuelewa mzee, wanaume siku hizi tunaisha tu, mtoto wa kiume unamkuta ana moyo laiiini, eti nae anaumizwa[emoji13], eti ukimtokea mtihani kidogo anajiapiza hawezi kupenda tena, serious, mtoto wa kiume kabisa unajiapiza UPUMBAVU kama huo...
Enzi zangu nishakutana na maseke, ikawa inaniongezea speed ya kuwaTO.. MBA tu,
Ukifuma msg kwenye simu ya kidawa, unamtafuta ashura unaruka, suala la kumuweka mtu moyoni utafikiri ni mama yako mzazi au uliandikisha kwa mungu kuwa huyo ndio wako pekee yako, ndio hayo wapumbavu wanaishia kujinyonga.

Ningekuwa kiongozi wa taifa hili nakuwa kama kiduku wa korea kaskazini, wanaume wenye nyoyo dhaifu kama hawa nawatwanga wote risasi,ukiwa dhaifu wa mapenzi, huwezi kuwa mzalishaji kwa taifa langu. [emoji23]
Hapa hakuna mtu mwenye moyo dhaifu,mimi nina roho ngumu zaidi ya ujuavyo,na haya yote ni matokeo ya roho kavu nilonayo.
Sitaki mahusiano kwasababu huo muda wa kubembeleza kiumbe mwenzangu sina,sijui,nilishasahau na siwezi kabisa. Pitia ule uzi wa "Msoto gani uliowahi kukutana nao katika miasha" ndio utajua nina roho kavu kiasi gani.
 
You are weak ..

Yani tukio moja tu linakufanya ukae 7 years outa relationship ? Je ukigongewa mke ? Itakuchukua mda gan tena kuoa ?aisee Nyie ndo mnao jinyongaga .. maisha nimafupi broh ..

Mungu kakupa viungo tofauti tofauti ili vikupe burudani imagine ata kukata gogo Kuna raha yake Even kuandika tu Kuna raha yake .. Sasa wewe ..basi tu niishie apo
Sikia wewe Master Love! Maisha sio mapenzi tu Master,kuna mambo mengi ya kufanya ukiachana na mahusiano.
Pia issue ya kunyanduana nimesema nanyandua kama kawa,ila kwa sasa nina almost 1 year na mwezi sijaiona mbususu. Hii haimaanishi kwamba nikikutana na mbususu nitaivungia,ni wazi nitaipiga ila mazingira yangu na ratiba zangu za uchakarikaji ndio zinanifanya nakosa hiyo chance ya kula mbususu.
 
Kama mbwai iwe mbwai tu kwani nini..😂
Sasa blaza ujio wako ulikuwa wa kiwaki so nilikuwa sina namna zaidi ya kukufyekelea mbali.

Umesema kama mbwai mbwai sio!sasa msimamo nauongeza mara dufu Blaza kama hao wachumba wanataka mwanamke legelege fresh tu bora nibaki singo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Unaakili mbaya sana KENZY 😆😆😆
 
Sikia wewe Master Love! Maisha sio mapenzi tu Master,kuna mambo mengi ya kufanya ukiachana na mahusiano.
Pia issue ya kunyanduana nimesema nanyandua kama kawa,ila kwa sasa nina almost 1 year na mwezi sijaiona mbususu. Hii haimaanishi kwamba nikikutana na mbususu nitaivungia,ni wazi nitaipiga ila mazingira yangu na ratiba zangu za uchakarikaji ndio zinanifanya nakosa hiyo chance ya kula mbususu.
Utakuwa na ugwadu kinyama
 
Wakuu!

Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano. Sidhani kama nitakuja kuwa sawa kwasababu lile pigo liliniathiri sana kisaikolojia.

ILA, Mbususu natunukiwa na baadhi yao ambao wana hisia na mimi ila mimi sina hisia nao kabisa. So sometimes wapo watakao jaribu kunishawishi kwa kila namna ili nikunjue moyo, maana nimekunja haswaa! Ila bado sijaona wa kunishawishi kabisaaa kuanza mahusiano. Japokuwa mpaka sasa nina takribani mwaka na mwezi mmoja sijagusa mbususu ya mtu (nadhani hii ni kutokana na harakati za utafutaji).

Pole miaka saba bado unateswa na ex[emoji848][emoji848][emoji848],, naona ume stuck kwenye shock stage,,,,, pole bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha ujinga, [emoji16][emoji16]

Ishi maisha yako , furahia dunia acha kuwaza waza ujinga kuhusu huyo aliye kucheat, Alisha kucheat ndio , so Nini kilichobadilika toka kwako ,!? Umekufa,!? Au ulipoteza kiungo kimoja wapo ktk mwili !? , It doesn't matter ulipitia mapito gani maisha yanapaswa kuendelea, usisite kuwa in serious relationship eti kisa uliumizwa wakati huo huo mwenzako aliye kuumiza anaendelea kuishi Maisha yake huko
Good message, wrong presentation [emoji41]
 
Usijihisi mpweke, mimi hapa pia nimefuata mkondo huo, Tangu mwezi September Sipo kwenye mahusiano na sijagusa hata wale wa kuosha rungu na nataka mwaka huu wote uishe nikiwa hivo.
Mbadala wake ni nini?
 
Kaka ee safi[emoji1534][emoji1534]

Maisha ni kupambana vinginevyo tutakuja kuwasumbua watoto kwenye ndoa zao wakose uhuru wa kupiga game sebuleni[emoji30][emoji30]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom