Hatimaye ni miaka 7 na miezi 3 bila mahusiano

Hatimaye ni miaka 7 na miezi 3 bila mahusiano

nikajua hubanjui,,[emoji15]

kumbe wabanjua afu unasema umetimu miaka 7 na miezi 3

by the way hyo miaka umetimu ya kuwa malaya na mzinifu kungwi.
Mkuu kwa mtazamo wangu kuna mambo ya MUHIMU ila sio LAZIMA,mfano Kubanjua.
 
Mkuu kwa mtazamo wangu kuna mambo ya MUHIMU ila sio LAZIMA,mfano Kubanjua.
mwenzio huyo
FB_IMG_16453816811560182.jpg
 
Big up let's go

Keep cheer's on the flow

Aminia sana bandugu
 
Mi mtu akishasema hayupo kwenye mahusiano lkn anafanya ngono basi simuhesabu kuwa yupo single!. Hapo ni sawa na kusema huna mahusiano na huduma ila unapata huduma!.. ukiamua kuacha acha kabisa usituletee balaa sie.
Akili yako ni ngumu sana kuielewa blaza
 
Utata ushaniletea wewe sijui umekuwaje tu umekuwa na roho mbaya sana yani inatisha! Niite mtumishi
Kwahiyo unataka kutoboa siri kuwa nilikuchinjia baharini🤪

Usifanye hivyo utafanya Nikose wachumba pm blaza
 
Kaka ee safi[emoji1534][emoji1534]

Maisha ni kupambana vinginevyo tutakuja kuwasumbua watoto kwenye ndoa zao wakose uhuru wa kupiga game sebuleni[emoji30][emoji30]
Kabisaaa [emoji457][emoji457][emoji16]
 
Acha ujinga, [emoji16][emoji16]

Ishi maisha yako , furahia dunia acha kuwaza waza ujinga kuhusu huyo aliye kucheat, Alisha kucheat ndio , so Nini kilichobadilika toka kwako ,!? Umekufa,!? Au ulipoteza kiungo kimoja wapo ktk mwili !? , It doesn't matter ulipitia mapito gani maisha yanapaswa kuendelea, usisite kuwa in serious relationship eti kisa uliumizwa wakati huo huo mwenzako aliye kuumiza anaendelea kuishi Maisha yake huko
Vijana wenye mioyo ya kina angelo, watizama movie za kifilipino hawawezi kukuelewa mzee, wanaume siku hizi tunaisha tu, mtoto wa kiume unamkuta ana moyo laiiini, eti nae anaumizwa[emoji13], eti ukimtokea mtihani kidogo anajiapiza hawezi kupenda tena, serious, mtoto wa kiume kabisa unajiapiza UPUMBAVU kama huo...

Enzi zangu nishakutana na maseke, ikawa inaniongezea speed ya kuwaTO.. MBA tu,
Ukifuma msg kwenye simu ya kidawa, unamtafuta ashura unaruka, suala la kumuweka mtu moyoni utafikiri ni mama yako mzazi au uliandikisha kwa mungu kuwa huyo ndio wako pekee yako, ndio hayo wapumbavu wanaishia kujinyonga.

Ningekuwa kiongozi wa taifa hili nakuwa kama kiduku wa korea kaskazini, wanaume wenye nyoyo dhaifu kama hawa nawatwanga wote risasi,ukiwa dhaifu wa mapenzi, huwezi kuwa mzalishaji kwa taifa langu. [emoji23]
 
Kwakweli wanapaswa kubadilika na watambue kwamba zile scene za kifilipino wanazo ziona kwenye tz Yale ni maigizo tu, vile vitu havipo ktk uhalisia wa maisha, na uki- adopted zile scene ktk maisha yako lazima dunia ikuadhibu
 
Back
Top Bottom