mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Ujakosea mkuu! tukiamua na kujiamini hakika inawezekana kabisa. Wao mbonaraia mmoja analia akitamka maneno haya:
"it's quite unbelievable that the people's power have just brought in change that no one anywhere in the world could imegine".
Watanzania lazima tuthubutu tu. kama hatutathubutu tutaendelea kuitwa wendawazimu na kina makamba.
inawezekana.
source: aljazeera
waarabu wameanza kuelimika bado hivi punde nasi waswahili tutaja elimika,,,,,ata uhuru walianza kupata waarabu,,,
Yaani hawa jamaa walikaza kwa kweli 18 days mmeacha mambo yenu mpo liberation square huu ndio uhuru kamili wa wananchi hakuna mjadala. Leo hii kweli twaonekana waoga ilka siku yao ipo patakuwa hapatoshi. Leo wanaccm akina makamba, tambwe na mkwere hawapati usingizi wamejua nguvu ya umma sasa wakafie mbele watuachie nchi yetu kama hawataki kutufanyia tunachotaka
Wapewapee kakaaaa.....Leo hawalali hao! eti wanajivunia jeshi'hawajui kuwa hataYaani hawa jamaa walikaza kwa kweli 18 days mmeacha mambo yenu mpo liberation square huu ndio uhuru kamili wa wananchi hakuna mjadala. Leo hii kweli twaonekana waoga ilka siku yao ipo patakuwa hapatoshi. Leo wanaccm akina makamba, tambwe na mkwere hawapati usingizi wamejua nguvu ya umma sasa wakafie mbele watuachie nchi yetu kama hawataki kutufanyia tunachotaka
Kakimbilia Shem al shekh' ni somewhere in side Egypty
<br
siyo kweli
😛opcorn:😛opcorn::first::laugh::coffee::roll:Yaani hawa jamaa walikaza kwa kweli 18 days mmeacha mambo yenu mpo liberation square huu ndio uhuru kamili wa wananchi hakuna mjadala. Leo hii kweli twaonekana waoga ilka siku yao ipo patakuwa hapatoshi. Leo wanaccm akina makamba, tambwe na mkwere hawapati usingizi wamejua nguvu ya umma sasa wakafie mbele watuachie nchi yetu kama hawataki kutufanyia tunachotaka
Binafsi namkubali sana Gaddaf. Huyu jamaa nchi yake yote ni jangwa,lakini chaGaddafi Gadafi Gaddafi tumbo linawaka moto. Huku south of sahara bado sana
Kaka bora hata hao wanajeshi wabebe tu hiyo nchi kuliko mijitu kama mubarak. Pia hata hao wanajeshi watajifunza kilichompataMimi naona hiyo ni "Kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru"! Utawala wa kijeshi hauna nafuu yoyote!
Watu weusi tusijilinganishe na waarabu,wana roho za kijabali wakati sisi maneno mengi matendo sifuri
kwa TZ sio rahisi manake serikali ya CCM inatupiga risasi hata kama ni haki kuandamana. Na maandamano yote ya kuipinga serkali hayapewi kibali tz. Kazi tunayo.
Mkuu hawa wa hapa kwetu wanajifanya vipofu na wameshindwa kusoma alama za nyakati. Lakini siku yaoKwa heri Mubarak, Kweli viongozi wa Afrika hawajui watazikwa wapi, Bado hapa kwetu tusubiri tuone mkwere anafanyaje kuwa elezea waTz wamuelewe maana haeleweki