Hatimaye Mubarak aachia ngazi!

The man is still the President, defiant and not stepping down. Has left Egypt for Sham al sheikh. Amekasimu madaraka kwa Vice President

sosi: cnn, aljazeera
Typical African leader! They don't just relinquish their seats easily!
 
Sanaaa, kabana kaachia mwenyewe achana na nguvu ya umma Full raha nao Masri.
 
Wadau yule nduli mwenye PHD ya ung'ang'anizi hatimae ameachia ngazi. Sasa siasa ya Mashariki ya kati inafungua ukurasa mpya leo.
 
Baada ya siku 18 za kupingana na nguvu ya umma, Hosni Mubarak asalimu amri...........................na huu upepo utavuma nchi zote kusini mwa jangwa la Afrika.......................................CCM is next on the list of dictatorship...........................
 
Aljazeera imetangaza kuwa Last FARAO wa EGYPT Hosni Mubarak aachia ngazi na nchi kushikwa na Jeshi!!!!
 
Huwezi hata siku moja kushindana na nguvu ya wananchi. It's just matter of time nguvu ya watanzania nayo itaanza kuonyesha matunda yake. JK jiandae....watch.
 
Habari rasmi kutoka Misri ni kuwa Rais Mubarak amejiuzuru. Chanzo ni BBC jioni hii
 
waarabu wana pumzi sana, hapa bongo kitu kama hii haitakuja kutokea hata rais aliyeko madarakani akijitangaza kuwa yeye ni gay, hatuna pumzi..sisi tunapiga makelele tu na kuacha,tuna nguvu ya pepsi
 
Tayari imekuwa confirmed, kaachia ngazi. Jeshi limechukua uongozi wa nchi!
Source- BBC Kiswahili service
 
Back
Top Bottom