mgemamkwezi
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 445
- 105
Kubadilishwa sdawa tu huoni hata kichwa chake JK kilivyobadilika ghafla na nywele kumwagikiwa na unga? mikiki mikiki ya Ikulu lazima uzeeke bila kupenda
kwahiyo uchawi wa karatu ukagonga mwamba?Presidaa mwenyewe anatoka Bagamoyo, walimjaribu siku za Mwanzo kumtetemesha Lakini baada ya kuunganisha NGUVU zake na za PINDA sasa hivi nasikia hata akipigwa risasi ya kichwani haipenyi...
Kimaryo atakuwa likizo.........kuwa mpambe wa JK siyo kazi rahisi........
Mbona kama ni Mnyarwanda?
Huyo ni Luteni Kanali.Cheo cha begani na kofia kama haviendani. Wameshabadilisha mfumo?
Sawa. Lakini iangalie vizuri kofia yake, zamani ilivaliwa na full kanali. Labda kuna mambo yamebadilishwa siku hizi.Huyo ni Luteni Kanali.
Amepanda cheo amekuwa Brigedia Generali
Sawa. Lakini iangalie vizuri kofia yake, zamani ilivaliwa na full kanali. Labda kuna mambo yamebadilishwa siku hizi.
Huyu wa sasa naona cheo chake ni :-
Luteni Kanali
Ila jf nimeamini hawa viongozi wetu huwa wanapita humu yaani watu walilalama kuwa
Brigedia Generali awe mpambe wa Rais haiko sawa kabisa.
Yale maua ndiyo yalinichanganya.Tofauti hapo ni kwamba ya Kanali inakua na ngao nyekundu na utepe mwekundu.
Kuna picha yangu nilitaka niwe naitumia kujibu baadhi ya watu lakini kila niki-attach inakuwa haionekani niki-preview. Nifanyeje?
Hako ka-process kalikotumika kumpandisha cheo Kimario kangetumika pia kumpata mrithi wake kama ADC. Unless awe alipandishwa overnight kama ulivyoandika.Kumbadilisha ADC ni ka process.
Isingewezekana kufanyika over night
Mbona kama ni Mnyarwanda?
Hako ka-process kalikotumika kumpandisha cheo Kimario kangetumika pia kumpata mrithi wake kama ADC. Unless awe alipandishwa overnight kama ulivyoandika.