kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,630
- 19,016
i think huyu jamaa anaitwa luten kanali
Mkeremi alikuwa tanga akaletwa dar i think ni yeye
jamaa anasura ngumu kunizidi.....
i think huyu jamaa anaitwa luten kanali
Mkeremi alikuwa tanga akaletwa dar i think ni yeye
Hiyo picha michu alimpiga JK Wakati wa kampeni Za Ubunge Nadhani mwaka 1990 Huko Bagamoyo/chalinze........halafu mtauliza kwa nini Michuzi ni mmoja wa Mpira picha wa Rais ,Ikulu ....anastahili Jamari ...katoka naye mbali ....Hapo kwenye picha sijaweza kumtambua Kassim Mtawa....ambaye naye amekuwa Nyoka ( msaidizi wa mbunge ) wa Kikwete toka "Akiwa anaitwa" Jakaya ...wa warembo...!!!..kwenye corridors of power ......kwa wale wanaokumbuka gazeti la motomoto ..lilipata kuandika Tukio la warembo kupigana na secretary ofisini kwa Waziri .....loo those days ...!!
Huyu wa sasa ana cheo gani? Naona begani na kofia vimenichanganya.
halafu huyo jeda naona ni mweupe puani tu ! huyo lazma ni mhutu
Acha masihara bwana wewe, ina maana ukiwa mpambe wa JK unakuwa unabebeshwa hayo matunguri yooooooote???????????????????????????.Kama ni hivyo basi lazima BRIGEDIA GENERAL aiteme hiyo tenda.
Ni mwanamke huyo, hiyo picha nimeikata!Naona kuna jamaa pembeni ya JK kapiga suit na sandals .......... ni fungus zinamsumbua au joto la Bongo!!??
Hapana, kama hawajabadilisha, lile ua ni kwa colnels tu. Juu ya hapo maua yake yalikuwa tofauti. Hata hivyo haishangazi. Ikulu ya Tanzania kila kitu kinawezekana. Unakumbuka ule mfano wa hundi tuliooneshwa na mtukufu rais miaka michache iliyopita?Hata mimi niliyepitia jeshi nimechanganyikiwa, possibly tunatakiwa kwenda Refresher Course. Cheo chake ni Luteni Kanali (Lieutenant Colonel) lakini kofia aliyovaa si ya cheo hicho (ua la mbele), kofia hiyo huvaliwa na na Colonels & Brigadiers.
Ichome moto lazima ina mapepo.Kuna picha yangu nilitaka niwe naitumia kujibu baadhi ya watu lakini kila niki-attach inakuwa haionekani niki-preview. Nifanyeje?