Hatimaye mpambe wa Kikwete abadilishwa!

Hatimaye mpambe wa Kikwete abadilishwa!

Nilisema..........JK hafuati taratibu katika teuzi zake.....remember Major General Ndoma's case?

Luteni gen ndomba tulilalamika Sana hapa hata Huko jeshini ..ilikuwa AJABU Sana mtu ndani ya miaka 5 kupanda toka Kanali hadi Luteni Generali ...wenzake wanatumiaa miaka hadi 10 mpaka 15 kupanda Hivyo
 
Pamoja na yote, JWTZ walinipa raha sana siku ya muungano. Nilisikia jina la komando msindai. Huyo mtu ni noma. Pia nauliza alipo komando mfikirwa aliyewakimbiza wacomoro kule anjouan mwaka 2008.
 
Safari ni safari, hivi benki yako ya picha ina ukubwa gani? Kila tukio huwa hukosi picha!!!

Mkuu ukijuwa kuitumia vizuri GOOGLE hunahaja hata ya benki.........hapa misupu alikuwa anampeleka JK kwa fundi fulani


pMB+-+Picture+Motion+Browser.lnk.jpg
 
Mkuu, sijapata uhakika. Yawezekana huyu kamshikia brigedia jenerali kwa muda. Kumbukumbu hazioneshi kama alishawahi kwenda likizo.
Kuna askari mmoja kaniambia kuwa ni kweli Brigedia General aliyekuwa mpambe wa Rais amepekekwa South Africa kuwa Mwambata wa kijeshi ubalozini. Nafasi yake amepewa luteni kanali ambacho ndio cheo stahiki kwa kazi hiyo.
 
Luteni gen ndomba tulilalamika Sana hapa hata Huko jeshini ..ilikuwa AJABU Sana mtu ndani ya miaka 5 kupanda toka Kanali hadi Luteni Generali ...wenzake wanatumiaa miaka hadi 10 mpaka 15 kupanda Hivyo

Tatizo sio hilo tu. Sheria iliwataka wanajeshi wachague kazi au siasa baada ya vyama vingi. Huyu Ndomba akaacha jeshi kuwa mkuu wa mkoa.......ghafla tukasikia karudi jeshini kuwa mkuu wa JKT na badaye mnadhimu mkuu wa JWTZ

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/327325-gen-ndomba-amrithi-shimbo-5-print.html
 
Presidaa mwenyewe anatoka Bagamoyo, walimjaribu siku za Mwanzo kumtetemesha Lakini baada ya kuunganisha NGUVU zake na za PINDA sasa hivi nasikia hata akipigwa risasi ya kichwani haipenyi...
teh tehe tehe .. mbafu sangu simepata masoesi aisee..
 
Presidaa mwenyewe anatoka Bagamoyo, walimjaribu siku za Mwanzo kumtetemesha Lakini baada ya kuunganisha NGUVU zake na za PINDA sasa hivi nasikia hata akipigwa risasi ya kichwani haipenyi...

Kinga aliyonayo ni ya hayo makonokono nini?
 
Cheo cha begani na kofia kama haviendani. Wameshabadilisha mfumo?

Hapana ndugu mvaaji yupo sahihi.huyo kwenye picha ni luteni kanali....na kofia ni nembo ya Jwtz ila haijanakshiwa kama maofisa wa juu kwani wao za kwao huwekewa kitambaa cha rangi nyekundu.
 
Huyu wa sasa naona cheo chake ni :-
Luteni Kanali

Ila jf nimeamini hawa viongozi wetu huwa wanapita humu yaani watu walilalama kuwa
Brigedia Generali awe mpambe wa Rais haiko sawa kabisa.

aaaah wapi,mbona mikataba ya madini ya moto?
 
Cheo cha begani na kofia kama haviendani. Wameshabadilisha mfumo?

..mbona naona iko sawa tu??

..huyo jamaa ni luteni kanali na kofia zao nadhani zinakuwa hivyo.

..kama una maana kofia yake haina ule utepe mwekundu, ninavyoelewa mimi utepe ule ni kuanzia kanali, brig.general, kwenda juu.

cc Jidu
 
Last edited by a moderator:
Huyu wa sasa naona cheo chake ni :-
Luteni Kanali

Ila jf nimeamini hawa viongozi wetu huwa wanapita humu yaani watu walilalama kuwa
Brigedia Generali awe mpambe wa Rais haiko sawa kabisa.

aaaah wapi,mbona mikataba ya madini ya moto?hakuna haja ya kujipongeza kwa vitu visivyo na tija hali ya kuwa rasilimali tulizonazo hazinufaishi waliowengi,watu wanachota wanaondoka wala hawaulizwi,kuna mambo ya msingi sana.
 
Mmh! kazi kweli kweli.

Nimeamini JF Ndio suluhisho la matatizo Tanzania, ili swala lipigiwa sana makelele hapa ndani sasa jibu limepatikana.
Mkuu napingana na wewe lakini naungana na wewe kwa jambo moja tu, kwanza jf ni chanzo cha habari kama chanzo kingine na kinaheshima yake lakini pia kubadili mpambe wa Rais siyo suala la mtu mmoja kulala na kuja na wazo kuwa fulani awe mpambe wa Rais hapana ila nimchakato mrefu kwa kuzingatia uadilifu,weledi,nidhamu na mambo mengine mengi kwahiyo baada ya mpambe wa mwanzo kupanda cheo asingeweza kuacha mara moja kabla mchakato wa kumpata mwingine haujakamilika.
 
Back
Top Bottom