Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
manyerere thibitisha hii mada, maana wewe ndio ulikuja na kuhoji,
Cheo cha begani na kofia kama haviendani. Wameshabadilisha mfumo?
Kuna picha yangu nilitaka niwe naitumia kujibu baadhi ya watu lakini kila niki-attach inakuwa haionekani niki-preview. Nifanyeje?
teh teh, mambo kina kingunge hayo!
hahaa teh teh!Presidaa mwenyewe anatoka Bagamoyo, walimjaribu siku za Mwanzo kumtetemesha Lakini baada ya kuunganisha NGUVU zake na za PINDA sasa hivi nasikia hata akipigwa risasi ya kichwani haipenyi...
Presidaa mwenyewe anatoka Bagamoyo, walimjaribu siku za Mwanzo kumtetemesha Lakini baada ya kuunganisha NGUVU zake na za PINDA sasa hivi nasikia hata akipigwa risasi ya kichwani haipenyi...
manyerere thibitisha hii mada, maana wewe ndio ulikuja na kuhoji,
Mkuu, sijapata uhakika. Yawezekana huyu kamshikia brigedia jenerali kwa muda. Kumbukumbu hazioneshi kama alishawahi kwenda likizo.
Baada ya kupandishwa cheo aliyekuwa mpambe wa Kikwete, Brigedia Kimario amebadilishwa mara baada ya sherehe za Muungano na nafasi yake imechukuliwa na huyo!
![]()
Luteni Kanali (Lieutenant colonel)Huyu wa sasa ana cheo gani? Naona begani na kofia vimenichanganya.
rwandaphobiasis
Mkuu, sijapata uhakika. Yawezekana huyu kamshikia brigedia jenerali kwa muda. Kumbukumbu hazioneshi kama alishawahi kwenda likizo.