mwa 4
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,390
- 754
Tatizo lenu bavicha bangi sasa huyu naye utasema alikuwa anafanya nini?
Mkuu ukijuwa kuitumia vizuri GOOGLE hunahaja hata ya benki.........hapa misupu alikuwa anampeleka JK kwa fundi fulani
![]()
Tatizo lenu bavicha bangi sasa huyu naye utasema alikuwa anafanya nini?
Mkuu ukijuwa kuitumia vizuri GOOGLE hunahaja hata ya benki.........hapa misupu alikuwa anampeleka JK kwa fundi fulani
![]()
Hahaha kweli JF Mwanzo mwisho CCM Mnaongozwa na mitandao ila hii picha duu
Very Goood...JF speaks..
Brig Kimaro kuendelea kufanya kazi Za maj hadi Kanali ilikuwa udhalilishaji mkubwa wa cheo Hiki na mpambe husikaaaa
Huyo Luteni Kanali ndieeee haswaaaaa pake.,.kimaro apelekwe frontline ku prove cheo chake..
Pia afanye kazi upandishajii holela alioufanyaaaa pia umedhalilishaaa cheo muhimu Hiki Bregadier Huwa anaenda mstari wa mbele..hawa waliopandaa wengi hadi Leo wako makaoooo kweny post zinazostahili kufanywa na majors wakidharaulikaa....Kifupi wapo bench wanaosoma magazeti....bora awape Ukuu wa Wilaya wakistaafu wenye vitengo awarudisheeee
Hiyo kofia inaonekana kama ya Kanali iliyotolewa utepe mwekundu. Tazama vizuri hayo maua chini ya kautepe keusi ufananishe na kofia wanazovaa ma-meja na maluteni kanali. Labda Kimario alivyopandishwa cheo kofia yake alipewa huyu bwana wakatoa huo utepe mwekundu unaousema...mbona naona iko sawa tu??
..huyo jamaa ni luteni kanali na kofia zao nadhani zinakuwa hivyo.
..kama una maana kofia yake haina ule utepe mwekundu, ninavyoelewa mimi utepe ule ni kuanzia kanali, brig.general, kwenda juu.
cc Jidu
Hii iko kwa mujibu wa sheria gani? Huyu hapa wa Juliasi
![]()
Tatizo lenu bavicha bangi sasa huyu naye utasema alikuwa anafanya nini?
Mmh! kazi kweli kweli.
Nimeamini JF Ndio suluhisho la matatizo Tanzania, ili swala lipigiwa sana makelele hapa ndani sasa jibu limepatikana.
mpambe mwembambaaa, siku si nyingi tunbo litakuwa kama la komba kwa marupurupu na posho za uzururaji za kila siku
Hhahahahhaha,Tatizo lenu bavicha bangi sasa huyu naye utasema alikuwa anafanya nini?
Baada ya kupandishwa cheo aliyekuwa mpambe wa Kikwete, Brigedia Kimario amebadilishwa mara baada ya sherehe za Muungano na nafasi yake imechukuliwa na huyo!
![]()
Naona kuna jamaa pembeni ya JK kapiga suit na sandals .......... ni fungus zinamsumbua au joto la Bongo!!??
Naona kuna jamaa pembeni ya JK kapiga suit na sandals .......... ni fungus zinamsumbua au joto la Bongo!!??
Brigadier kimario is now defence attaché in south africa
Naona kuna jamaa pembeni ya JK kapiga suit na sandals .......... ni fungus zinamsumbua au joto la Bongo!!??